Tunasubri report ya pili ya watumishi wenye vyeti fake, Mwaka mzma haujatosha kuchunguza?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Hii report ndo imebaki kutolewa, maana zngne zote tayr zmetolewa zilizokuwa zikichunguzwa! Sasa hii mbona kizungumkuti?

Waziri husika umejitahd sana kuvuta muda ili kumaliza mwaka kwa zoezi hili kama ulivyoelekezwa, lakn sasa mwaka umeisha Fanya umalizie hiyo report yako hafu usubr tena wanaokata rufaa ili mwaka wa fedha ukianza watumishi waebdelee na taratb zao kama vile;

Uhamisho, kupanda madaraja, nyongeza mshahara, na VIJANA wapate ajira Mpya! Hongera kwa kuvta muda ila sasa funguka, makinikia yametumia miez 2 tu kukamilika lakn ww mwaka mzma hebu ona hili basi,

Watanzania tunasubr hyo report mh,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom