Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,970
Amani iwe juu yenu...
Kutokana na report ya pili ya mchanga, Rais kaagiza m8karaba irudishwe bungeni ikapitiwe upya na kuwekewa sheria mpya....
Hili jambo lilikua likipigiwa kelele na wabunge wa upinzani, ila kwakua kelele zao zinamezwa na zile ndiooooo, wamekua wakishindwa kutetea hoja zao.
Pia mambo mengi yanayojitokeza ni kutokana na katiba mbovu tuliyonayo, kwani ile rasimu ya katiba ya akina Warioba ndio ilikua dawa ya haya matatizo haya,.. Ila kwakua wabunge wale walio wengi wa ndioooooooo! Hawahitaji kujadili mambo kwa faida ya taifa, haya ndio matokeo yake....
Sasa ndg zangu wa ndioooooo,.... Mnajisiaje leo hii inaporudishwa kwenu tena murekebishe kosa lenu la ndioooooooo....? Yote haya ni ninyi..