babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
Habari wadau, mimi ni mtanzania ambaye napenda sana kufatilia masuala ya siasa na shughuli za serikali za Tanzania ila nina tatizo moja ambalo cjajua tatizo hili limetokana na nini:-
Huwa nachukia sana vigelegele na yale makofi ya wabunge kugonga meza kwa muda mrefu hasa kwa bunge hili la sasa....
Naombeni mnisaidie cjui tatizo ni nini?
Huwa nachukia sana vigelegele na yale makofi ya wabunge kugonga meza kwa muda mrefu hasa kwa bunge hili la sasa....
Naombeni mnisaidie cjui tatizo ni nini?