Tungedili na Kibiti kwanza, hela za makinikia zilishaliwa kitambo

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Nadhani ingekuwa ni busara sana kuwa na hasira na kujaa povu kwa kiwango hiki hiki cha juu kma kilichooneshwa kwa ACACIA, juu ya ishu ya mauaji yanayoendelea MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji), maisha ya wengi yangeokolewa.

Mambo ya makinikia yalishatokea kitambo, watu walishapiga hela, na mchanga umeshazuiliwa kusafirishwa, so jambo hili lingeweza kusubiri. Ila haya mauaji yanafanyika sasa hv. Tujifunze kuset priorities, huku tukiangalia na roho zinazopotea pia...!!
 
Back
Top Bottom