Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Bado najiuliza tu kwa ujinga wangu (kwa sauti ya Magufuli) hawa maprofesa waliopo humu, hawa madokta na ohd za wenyewe plus degree zilizopo na diploma mpaka certificate's zilizopo, hata kwa kutambua uwepo wa kidato cha nne na la saba waliopo humu ndani. Bado najiuliza kwa ujinga wangu "hivi vyeti vilikua vinatolewa na nani?" Maana mtu anakuja kujifanya mjuaji anashindwa kutofautisha kati ya African Barrick na acacia. Bado tu najiuliza wanatumia vigezo gani kusema tume ilidanganya na kuweka picha uchwara wa kuonyesha African Barrick ndio Acacia.. Yan mtu kweli hata kutofautisha hujui!? Unahisa gani wewe!? Maana ni Tanzania pekee mtu akifanya wema anaonekana mbaya so bado najiuliza kwa ujinga wangu ni nani aliyetuloga kwa ujinga huu wa kiwango cha moram maana bora hata kingekuwa cha lami! Bado najiuliza wnaosema tra walikua wanadai kodi kwa acacia lakin wanasahau wanatumia hati za African Barrick. Huu ujinga cjui utaisha lini?