Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,831
- 244,361
Imebidi niulize swali hili ili kupata ukweli .
Wananchi wanaoomba kuunganishiwa umeme kwa pale Kyela Mjini inawachukua hadi miezi 12 ! Kulikoni ?
Hakuna mita wala nguzo , Kisa nini ? Kwa mji unaokua kwa kasi kama Mji wa Kyela kuchelewa kuunganishia umeme wateja wenu kwa zaidi ya mwaka ni kukwamisha maendeleo kusiko na mashiko.
Sasa kama Tanesco imefirisika Tangazeni ili wananchi wajipange kwa ajili ya plan nyingine kama solar nk.
........ Itaendelea ........