Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Nimeona ktk dhifa nyingi za serikali wakati wa kuomba dua waislamu huwakilishwa na Bakwata na wakristo wanawakilishwa na Kanisa Katoliki, KKKT na Anglican. Swali langu je, sisi Wasabato ni lini tutakumbukwa?!