Jengo la ghorofa nane laporomoka Jijini Nairobi nchini Kenya wengi mpaka sasa hawajulikani walipo

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,323
Jengo la ghorofa nane limeporomoka usiku wa kuamkia leo jijini Nairobi na wengi hawajulikani walipo.

Juhudi za uokozi kutoka vikosi mbalimbali unaendelea ktk eneo la tukio.

Taarifa kamili zitaendelea kutolewa...
 
Kange kuepo na kapicha habar ingeeleweka sana anyway ngoja tungoje taarifa zaidi
 
PANews_P-463bd673-bded-4927-bd1a-a205f72400d4_I1.jpg

Wawili wahofiwa kufariki na wengine wanne wajeruhiwa
 
Poleni wahanga

Je sisi tanzania kama nchi tunajifunza nini na tunachukua tahadhari gani kutokana na tukio hili
 
Watanzania yatupasa kuchukua tahadhari na hatua madhubuti ili kuepukana na majanga ya aina hii. Haswa katika maghorofa ya Kariakoo na kwingineko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom