Jamani huenda uhuru tuliopewa sio halali wala halisi

the glassroof

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
289
439
Najaribu kufikiri kwa sauti kidogo, ila kabla ya yote naomba kudeclare interest kuwa naipenda sana jf na watu wake wote.

Binafsi huwa nasoma tu post za wenzangu ila nataka leo niandike machache kidogo leo.

Ukweli ni kwamba karibu nchi zote duniani zilikuwa zimetawaliwa na wakoloni. Na zilianza kujikomboa kwa nyakati tofauti tofauti, mfano nchi tunazoziita leo zimeendelea, zilijikomboa mapema sana mikononi mwa wakoloni.

Na njia kuu iliyotumika ilikuwa ni kumwaga damu. Taratibu nchi ziliendelea kujikomboa kwa mfumo huo huo, na watu wake wanathamini sana taifa na utaifa wao.

Akina sisi tuliokaa mezani tukazungumza na mkoloni akaondoka, sijui lakini kwa uelewa wangu mdogo, labda yapo yaliyozungumzwa kama mkataba ili hawa mafirauni waendelee kutufyonza.

Ama kwa kuwa hatukupata Uhuru kwa jasho na damu huenda hatuelewi thamani ya Uhuru wetu.

Vile vile kwa kuwa watanzania hawakumwaga damu huenda hatuelewi hasira zao dhidi ya udhalimu unaoendelea wa uhujumu uchumi

Huenda pia mifumo ya kupata viongozi wetu ni mibovu sana kiasi cha kutowatambua wazalendo, tumejikuta tunaendelea kurithishwa viongozi wale wale waliokuwa wanabadilishana kanzu na dhahabu

Kingine, Vigezo vya kupata wabunge ni dhaifu kiasi kwamba tunashindwa kutengeneza injini bora ya kuendesha taifa hili. Yeyote mwenye sauti kubwa na ushawishi wa aina yoyote ile basi mjengo ni halali yake

Pengine labda hakuna nguvu ya mawasiliano ya moja kwa moja kati ya serikali na jimbo hususani kwa wabunge wanaoliletea hasara taifa hili kutopewa lidhaa ya kurudi mjengoni.

Yaani iwepo kama kura ya veto hivi, ikitokea jimbo limemchagua tena mbadhirifu basi taifa lipaze sauti na kumkataa mara moja, badala yake wanachi wapewe fursa nyingine kuchagua mwingine.

Na wakishindwa basi awamu ipite bila kuwa na muwakilishi, kitu ambacho naamini hakina madhara kulingana na aina ya wabunge tulionao. Majority, ni wawakilishi wa familia zao na matumbo yao na si majimbo husika.
Na hii itakuwa fundisho kwa wanajimbo wasiokuwa makini na viongozi wao.

Na kama kweli Uhuru tulionao umejitoshereza, basi iko haja kwa taifa kutafuta namna ambayo itatufanya tupigane tena na hawa wakoloni wa ndani, yaani hawa weusi wenzetu ili kwa wale tunaowafahamu wanamiliki mali zetu kwa ubadhilifu watangazwe kuwa maadaui wa taifa.

Na popote tunapokutana nao tuchome moto vitu vyao, tuharibu vizazi vyao na kuwaangamiza kabisa ili tubaki na watanzania halali wenye machungu na taifa lao.

Ni ngumu kumeza lakini ndo njia pekee iliyosalia ya kulinusuru taifa letu, vinginevyo tutaacha magugu na yatamea tena siku za usoni.

Sipendi siasa but kwa hiki kinachoendelea tumuunge mkono Rais wetu na katiba mpya is inevitable.

Mungu ibariki Tanzania, bariki rasilimali vitu na rasilimali watu, bariki hata rangi yetu nyeusi, umoja wetu na uzalendo wetu.
Mods please msiunganishe hii kitu.
Ahsanteni sana.
 
Inawezekana tuliingizwa chaka mkuu??Maana uhuru kwa mujibu wako ni uhuru wa bendera hatuna usemi wala uamuzi wa kiume.Wasomi tunao ila tukifika kwenye maamuzi ya msingi nao wanakuwa kama watu wa vijiweni
 
Punguza hasira mzee...kila kitu kitakuwa sawa hivi karibuni...
 
Inawezekana tuliingizwa chaka mkuu??Maana uhuru kwa mujibu wako ni uhuru wa bendera hatuna usemi wala uamuzi wa kiume.Wasomi tunao ila tukifika kwenye maamuzi ya msingi nao wanakuwa kama watu wa vijiweni
Hapo tuko pamoja
 
Back
Top Bottom