Usitutie katika vishawishi,bali utuokoe na yule mwovu.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,484
2,000
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Nimewaza tu hii sentensi katika sala ya Bwana Yesu,hivi alimaanishanini, kwamba dhambi zetu ni matokeo ya Mungu kututia vishawishini ama vipi.
Kwa mtazamo wangu wa kiwango cha KKK hawa wawekezaji tuliwatia vishawishini halafu tukaomba wasituibie,vishawishi vimewakwaza wameiba sasa tunataka kuwalaumu.
Tumebaki kugongana sisi kwa sisi na muda mfupi ujao tutaanza kushitakiana wakati tuliwaita wenyewe. Hiki kishawishi nani angekishinda?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom