Mnaofunga vyakula katika foil mjue kuna madhara

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,051
5,094
Haya jamani mjioneee mnaofunga vyakula ktk karatasi nyepesi za aluminium mjiandae na madhara yake. Wataalam wamesema ni hatari.

Angalia video hapa chini
 
Hizi tafiti itafika mahali zitatuchanganya badala ya kutusaidia. Inamadhara ikipata joto la kiasi gani?
 
Bora hata foil hii mifuko laini ya sasa ina harufu ambayo siipendi kbs
 
Back
Top Bottom