Qunax
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 100
- 127
Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani? Maana nasikia kuna wakurugenzi wametimuliwa tangu mwaka jana na bado wanalipwa mshahara me bado sijakubali mpaka nione kigogo mmoja katolewa kafara.kila siku tunasikia wezi wezi alafu sion action huu wizi wa mchanga ni wizi kama wa 200 hivi nlosikia walihukumiwa ni kina Mramba tu kufagia muhimbili kosa kuiba Matrilioni.
[HASHTAG]#Huku[/HASHTAG] kitaa mtu akiiba kuku anachomwa moto.
Nafasi za pepo bado ziko nyingi sana.
[HASHTAG]#Huku[/HASHTAG] kitaa mtu akiiba kuku anachomwa moto.
Nafasi za pepo bado ziko nyingi sana.