Hii imetokea siku ya leo asubuhi ambapo baadhi ya wananchi kwenda kuchimba katika eneo la NAMBA 2 ambalo lipo karibu na mgodi wa ACACIA Bulyanhulu wilayani Kahama.
Mamia ya vijana,wazee na akina...
Wakati watanzania wanaingia kwenye mfumo Wa digitali, tuliambiwa tutapewa Chanel 7 za bure ambazo ni local.kweli tukawa tunapewa,lakini siku hizi hali imegeuka kiasi kwamba kama haujalipia hauoni...
Habari wadau wa JF hasa ndugu zangu wa Arusha.
Nina ugeni siku chache zijazo wa wiki nzima na kutokana na eneo la kazi na kufanikisha mipango yao ningeomba kuzitambua nyumba nzuri za wageni kwa...
Kama inavyosomeka hapo juu, leo nimeona niweke wazi kwa faida ya wengine na wala si vinginevyo. Kuna hizi bus za Princess Muro na Lucky Star za kwenda nyanda za juu kusini, gari ni mbovu na...
Nampongeza sana mh JPM kwa kuvalia njuga suala la Acacia makinikia na hatimaye ungaliwaji na kurekebisha mikataba yote ya madini.
Ni wakati sasa Mh Waziri wa Viwanda na wengine wenye dhamana...
Fundi mbao, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na kidato cha kwanza.
Akizungumzia tukio hilo...
sh. 10,000/- kwa nyumba zisizothaminiwa hii ni sawa. Lakini Sh.50,000/- kwa ghorofa moja hii siikubali hata kidogo. Sababu: Nyumba moja pale kitongojini sh. 10,000/- Ghorofa ninayoishi ina orofa...
Tanzania nchi ya ajabu saana
wamesema wanafuta kodi ya motor veicle wataripia watakapo.nunua mafuta kwa kupandishiwa sh 44 inamaana mimi nisie na gari ila nna chain saw nalipia motor veicle kwa...
Kanuni ya dunia ipo hivi:
Kama hugusi Maisha ya watu ni ngumu sana kufurahia kuishi duniani. Ni ngumu sana kupata mafanikio ya kweli.
Maisha ni Raha kama una furaha, lakini ni Raha zaidi kama...
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi imepiga marufuku bomoabomoa iliyopangwa kuanza katika jimbo la Kibamba, ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro.
Amri ya usitishwaji wa bomoabomoa hiyo...
Kutokana na hali ya uchumi wa sasa kutokuwa rafiki sana na sisi Makabwela, kinywaji gani unatumia kwasasa? hasa ukizingatia hata viroba navyo havipo tena.
Je ni kinywaji gani unatumia ili...
Mambo vp everyone,kwa wale watazamaji WA clouds TV watakumbuka vizuri jinsi clouds ilivyotokea kupendwa na jpm mpaka kufikia kupigiwa simu za pongezi Mara kwa Mara ktk vipindi vyao.
Si hivyo tu...
Kwa kweli ngao hii ni ya kiubunifu sana mfano shoka linaonyesha jinsi kila mzanzibar afanye kazi
Pia panga ni alama ya ulinzi Wa taifa
Hongera sana mtu aliyebuni ngao hii
Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..
Sijui watu washarudi kijijini!! Zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.Sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie,kweli hali ngumu.
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na habali za makinikia
Husika na kichwa cha habali hapo ili twende sawa
Kuna baadhi ya watu ambao ni wengi sana dunian huamin Israel ni taifa...