yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Wakati watanzania wanaingia kwenye mfumo Wa digitali, tuliambiwa tutapewa Chanel 7 za bure ambazo ni local.kweli tukawa tunapewa,lakini siku hizi hali imegeuka kiasi kwamba kama haujalipia hauoni stesheni yoyote au utaachiwa kaTBC na tv1 (kwa sisi Wa star times) he TCRA na wizara husika mlitudanganya au wenye ving'amuzi wanavunja Sheria?