Napenda kutoa wito kwa watanzani wote. Tuisaidie serikali na wabunge wetu kwenda kutengeneza sheria bora za madini, gesi asilia na mafuta kwa kutoa maoni yetu. Tutaweza kutoa maoni yetu vizuri...
Mkazi wa Mtaa wa Mabambase katika Manispaa ya Shinyanga, Saada Elias(24) amefariki dunia kwa kujikata koromeo kwa chupa ya soda.
Mwanamke huyo alijiua kwa chupa muda mfupi baada ya kunyang'anywa...
Alieuza chakula mwezi wa ramadhan baa ya mbawala kufikishwa mahakamani.
Hatimae wafanya biashara waliouza chakula hadharani Zanzibar, kufikishwa mahakamani
Kama zilivyo nchi zingine Africa wataalamu wa fani za computer science, computer engineering, IT software wana association zao ambazo ukimaliza kusoma diploma au degree ni lazima usajiliwe kama...
inawahusu? ...kwanini hawa pia wasihojiwe kwa sababu walikuwa kwenye nafasi ya juu ya Usimamizi wa Wizara ya Nishati na Madini kupitia Mawaziri ambao wamekuwa inflicted kwenye issue hii...Au na...
Habari wana jamvi,leo nina dodoso kama ifuatavyo:kutokana na awamu hii kuwa na changamoto zake nyingi sana ambazo kwa uhalisia wengi wetu tumeguswa sana kwa namna yoyote ile.Lakini ukweli utabaki...
Kwa Muda sasa, kupitia Social Media Pamoja na humu JF kuna mijadala mingi imekuwa ikiwasilishwa hasa mingi ikitoka Upande wa Hawa Ndugu zetu wa Kututia hofu kwa hii Vita ambayo Mh. Rais anapigania...
ZANZIBAR KATIKA MABASI YA JIJI LA LONDON KAMA SEHEMU YA MATANGAZO YA SAFARI ZA NDEGE ZA SHIRIKA LA NDEGE LA UTURUKI
Kwa siku mbili mfululizo sasa mabasi ya jiji la London yamekuwa yakibeba...
Msako mkali unaoendesha na Jeshi la polisi mkoani Tabora umefanikisha kuwatia mbaroni watumishi wawili wa basi la kampuni ya Osaka Raha inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kwenda jijini...
Kufutwa kwa m/v road licence kunaelekea kutapunguza ajira baada ya wafanyakazi wa Yono waliopewa tends ya kukagua nagari kudai wanaweza kupoteza ajira. Source mfanyakazi wa Yono.
Itokee siku moja Rais Wa Jamhuri yetu kwa makusudi na katika kulipiza kisasi amtie kisu mtu Ikulu wakati wa kazi (yaani akiwa ofisini), je aweza kushtakia kwa kosa la jinai? Kama siyo ni kitu gani...
Nasema kwa uchungu wako wapi mashujaa wetu?
Waliopambana na Nduli Iddi Amin Dadaa mpaka akaikimbia Uganda!
Wako wapi mashujaa wetu walio simama mwembe yanga wakatangaza vita dhidi ya mafisango...
Daudi aliteuliwa baada ya Sauli....
Mwenyezi Mungu akamwagiza Samweli amteue Sauli kwa kumpaka mafuta ili awe Mfalme wao.Sauli ni nani? Sauli alikuwa mtoto wa Kishi kutoka kabila la Benyamin...
Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu...
Wakuu jioni hii nilikuwa nasafiri na Fastjet ya kwenda Mbeya,nilifika mapema sana uwanjani kwa ajili ya kuwahi safari yangu
Kufika pale uwanjani,nikafanya kuchekiwa na mpaka kupewa "boarding...
Ni baada ya kufanya kazi kwa bidii ili kusomesha watoto wao na kujitafutia ridhik wakishirikiana na vyama vya ushirika na hatima yake kuishia kulia kilio cha samaki NALETA KWENU KAMA NILIVYOIPOKEA...
Huu si uungwana,mambo haya ndio huchochea hasira na visasi!
Waliofanya kitendo hicho sidhani kama hata funga yao ina maana zaidi ya kujitesa kushinda njaa bure!
===
Kwa mijadala zaidi kuhusu...
Anatafutwa king of reply 2017 ambapo atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
1.Atatakiwa kuanzia kesho ujumbe wowote utakaotumwa jf kuwa kwanza kureply majukwaa yote
Karibuni donge nono utatumiwa...
Jamii yetu inapitia mabadiliko makubwa yanayotulazimu kutafakari upya wajibu wetu kama wazazi. Mtindo wa malezi umebadilishwa na mageuzi yanayoendelea katika jamii. Wiki iliyopita, tuliangalia...