Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu huyu jamaaa ni mpiganaji sana ,ni mtu ambae hakubali kushindwa ,kiukweli ninamkubali mno Leo mahakama kuu imemrejesha kwenye nafasi yake ya umakama wa TFF kiukweli huyu jamaaa ni mpiganaji...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi mahabusu kukoje jamani , ni nyumba au ni nini ? Maana naonaga watu wanaotoka mahabusu ile wakienda mahakamani wanakuwa wamenawiri , nguo nzuri na safi , na wenye furaha ... Aliyewahi sota...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
0 Reactions
19 Replies
3K Views
_Ili uanzishe biashara unatakiwa uhakikishe mtu unayemwajiri umemfanyia majaribio ya kutosha ili kupima uwezo wake na ujuzi ili awe na sifa, kwasababu kuajiri watu wenye uwezo mdogo inaua...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Bila kulenga udhalilishaji tupashane yaliyopo na yanayojiri kwa mtoto wa Afrika kwa njia ya picha Naanza na hawa wachache, wakati unawaza matarajio ya mwanao malezi utakayompa ukumbuke uwepo wa...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
1.Hili gari hapo chini upande za kushoto uwa linafanya usafiri kuanzia Mbagala Rangi Tatu mpaka Kivukoni Feri. 2.Hilo gari la chini linafanya usafiri kutoka Mbezi kwenda Makumbusho 3.Wale wa...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari wa ndugu, Nina mwanangu wa miaka 9 -10, akiwa yeye na bibi yake wanapenda sana kwenda kwenye kanisa moja la KIROHO pale Mwenge ila cha kushangaza Jana kaja kaniuliza "atii Baba nasikia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wafanyakazi tisa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi tatu tofauti dhidi wizi wa mali iliyokuwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu, Muda si mrefu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anazungumza na Waandishi wa habari. Niwaletea kile atakachosema hapa hapa. UPDATES: Ndugu...
10 Reactions
79 Replies
15K Views
Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu Niangukapo mimi nitasimama tena Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie ×2 Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Dr. ametonesha kidonda ambacho wenye kukiosha wanaufahamu uchafu wake.Udsm kuna department nagwa aka Konk kikonk sana.Pale FL nakumbuka vimbwanga vyake.Kuna sister mmoja toka Katavi aliisoma namba...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
naanza kama ifuatavyo:jana nilikwenda kuweka hela kwenye mtandao furani wa simu ilikuwa 1.2m,lakini sikuipata huduma hiyo kwakuwa muhudumu alisema hana default.nikaondoka nikaenda sehemu nyingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam Kuna led tv aina ya sony bivaria imetoka dubai sasa lugha ilikuja nayo ni kijapani nimejaribu kugoogle niweze kubadili lugha napata ipo kwenye setting lakini kila nikijaribu kuingia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
UJINGA NDIO UMASKINI… Nawaza sana pale ninapoangalia namna nchi yetu inavyotumia gharama kubwa kulipia vitu ambavyo tunavyo miaka nenda rudi. Nchi yenye maporomoko ya maji inaendelea kuwa mteja...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Hivi nyie binadamu mna matatizo gani? Unapooenda benki kuomba mkopo watakusumbua ile mbaya, mara hiki bado mara kile, ooh twende tukakague dhamana n.k. Vyote hivyo sina tabu navyo kwani ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Konda nimepungukiea shillingi mia. Jibu kama konda wa kibongo
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF, Kuna hii sheria ya kueleza pesa ulizonazo uwanja wa ndege unaposafiri. Je: 1) Ni kiasi gani kinatakiwa kuwa declared? 2) Je ni wakati wa kuingia Tanzania tu, ama wakati wa kutoka tu...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Habarini. Najua kuna kasumba ya wananchi eti jeshi letu halisemwi hata kama lakosea. Inapokuja suala la kuvunja sheria za barabarani kwa vyombo vya moto nafikiri ktk taasisi zote nchini, jeshi la...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Mapema leo baada ya swala ya Ijumaa ofisini ya Maulana Sheikh Hemed Jalala imempokea Profesa Ibrahim Lipumba aliyekuja kutembelea Maulana ili kubadilishana mawazo na kujuana Maulana Sheikh...
5 Reactions
69 Replies
11K Views
MONDAY, 31 MARCH 2014 Njia 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART). Kwa kuanzia...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom