Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kwanza niombe radhi kama hii habari ilishawai kuletwa humu..Pili niombe radhi Kwa kutokuweka video nmejaribu kuupload ikagoma... Kunatalent show flank hivi iko kama american got talent nadhani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Pwani: Polisi inamshikilia Salehe Masokola kwa tuhuma za kuwapa wanawake sumu na kuwasababishia vifo. Salehe Masokola (22), ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Kunwe wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari Zenu Wana JF Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
hebu bila kukuna kuna kichwa tupia sentensi yoyote ya kiingereza cha kuvunjika vunjika hapo china:- I has a book. I think now mr ester have get what she were looking forward they are looking...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu natumai mmeaka salama.! Malawi ni Moja ya Nchi ambazo zimelazimika kuwarudisha shule mabinti ambao walipata ujauzito wakiwa bado wanafunzi. Mabinti hawa baada ya kujifungua wanarudi na...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Nassari na Lema walifikisha malalamiko yao Takukuru kwa mara ya kwanza Oktoba 2 ,2017 ikiwa ni siku moja kupita tangu walipouweka hadharani mbele ya waandishi wa habari ushahidi huo mjini Arusha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni swali tu ndugu zangu.Chama kikongwe katika ulingo wa siasa za Tanganyika na baadaye Tanzania na chenye historia ndefu juu ya uongozi kitaifa sasa kinaonekana dhahiri dhihiri kinapumulia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu, elimu nchini Tanzania hasa elimu ya chuo kikuu imegubikwa na changamoto nyingi ambazo zinaifanya ionekane ni ya ovyo. Wanafunzi wa vyuo hawajitumi kusoma kwa kutegemea alama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maisha ya kisiasa 1966: Alishinda kiti katika Bunge la Wawakilishi 1971: Nixon amteua kuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa 1974: Ateuliwa kuwa Balozi wa Marekani katika ubalozi mpya...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Naenda moja kwa moja hoja, nafuatilia live matangazo ya JPM na Uhuru kenyatta,ila kuna jambo binafsi kwa uelewa wangu mdogo, nyimbo za taifa wakati zinapigwa umeanza wimbo wetu na kufuata wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuuu jiwe alisema huko nyuma kwamba hakuna atakaemkwamisha na atakaejaribu kumkwamisha atakwama yeye,sasa jana nimesikia tetesi kuwa ameishakwama na wanamtuhumu kiongozi mmoja wa zamani kuwa...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayejua zilipo ofisi za makampuni haya, tafadhali naomba msaada wa kuelekezwa au mawasiliano yao. 1. Arab contractors, walioshinda tenda ya stiglers George 2. GS Engineering...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Wadau wa Jf naomba msaada tutani,ni wapi napata mabus yanayoenda mtwara kutokea dsm,ofisi au namba za mawasiliano... msaada wa haraka plz
0 Reactions
55 Replies
15K Views
hili tukio limetokea Iringa,kihesa kata ya mtwivila
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajf, nadhani ni vizuri kuwa makini Na maamuzi ikiwa pamoja Na kumhusisha Mungu katika maamuzi yoyote! Naja kwenye maada, wapo wanajf wanao mhurumia Mbowe kutokana na uamuzi wake wa kuichezea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni miezi kadhaa tu imepita Wakenya walianzisha Safari yao ya Kwanza ya moja kwa moja ( direct flight ) kwa Ndege yao ya Kenya Airways kutoka Nairobi hadi New York tena kwa mbwembwe / mikogo yote...
29 Reactions
102 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, Kuna kipindi kulikuwa na mchakato wa kutafuta vazi la taifa, je ulifikia wapi? Tafadhali tujuzane kwa mwenye kufahamu hili. Nadhani ni wakati muafaka tuwe na vazi la taifa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hawa halotel wamekuwa wakinipa huduma bora kwenye internet ila hii wiki mambo yamekua tofauti, Kuanzia juzi hadi sasa internet imekuwa ni slow mno mpaka kero.....Instagram siwezi kuitumia kabisa...
0 Reactions
6 Replies
936 Views
Kuna muda nilipita maeneo ya Leaders nikakuta Wasanii fulani wakiwa wamekaa na wawili wakiwa wanalia ila kulikuwa na Usiri hivi. Nikapitia Sinza na kwenyewe kuna Kambi moja ambayo huwa huwakosi...
4 Reactions
98 Replies
16K Views
Back
Top Bottom