Wakazi wa Dar Es Salaam : Hizi ndiyo daladala zinazifanya usafiri ndani ya jiji la Dar Es Salaam

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
13,640
Points
2,000

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
13,640 2,000
1.Hili gari hapo chini upande za kushoto uwa linafanya usafiri kuanzia Mbagala Rangi Tatu mpaka Kivukoni Feri.2.Hilo gari la chini linafanya usafiri kutoka Mbezi kwenda Makumbusho

3.Wale wa Buguruni kwenda Kivukoni Feri huwa wanapanda sana gari hili4.Hili gari uwa linatoka Kimara kwenda Kawe kule jimboni kwa Mheshimiwa Halima Mdee5.Wale wanaotoka sijui Tegeta kwa Ndevu na baadhi ya sehemu zingine za Tegeta uwa wanagombania sana huu usafiri kwenda Ubungo
6.Wale wakazi wa Kimara kwenda Kivukoni Feri huu ndio usafiri wao
 
marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
13,169
Points
2,000

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
13,169 2,000
Mimi nawalalamikia kila siku walipo uwa route ya muhimbili to kimara

Walisubstute na mwendobughudha bila kufikiria kuwa wanawatesa wanakimara mara mbili kwa masilahi ya kampuni badala ya wananchi
1. Wahangaike kujiminya kwenye mabasi machache
2. Wafikirie namna ya kuwafikia wagonjwa kwa wakati na chakula
Nilidhani ingekuwa kusara kuanzisha route ya Kimara - Muhimbili ili kuwapunguzia usumbufu wa kubadilibadili mabasi fire na gerezani
 
Punnisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2014
Messages
774
Points
1,000

Punnisher

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2014
774 1,000
Walisubstute na mwendobughudha bila kufikiria kuwa wanawatesa wanakimara mara mbili kwa masilahi ya kampuni badala ya wananchi
1. Wahangaike kujiminya kwenye mabasi machache
2. Wafikirie namna ya kuwafikia wagonjwa kwa wakati na chakula
Nilidhani ingekuwa kusara kuanzisha route ya Kimara - Muhimbili ili kuwapunguzia usumbufu wa kubadilibadili mabasi fire na gerezani
shida ni kwamba makutano ya fire ni vigumu kwa basi la mwendokasi kukunja kona... Warudishe daladala za kawaida mimi sitojali
 
Forum statistics

Threads 1,379,335
Members 525,390
Posts 33,743,543
Top