1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.
2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku...
Salaam,
Habari za mida hii wadau, bila kupoteza muda naomba niingie moja kwa moja kwenye mada, ilikuwa wiki kama nne zimepita nilipopigwa cheti barabara ya morogoro karibu na kimara kwa kosa la...
Salamu kwako boss wangu kazi uliyonipa nakaribia kuimaliza wakati nikiendelea na kazi nimefikiria mengi kuhusu mustakabali wangu hapa kazini matendo na uongozi wako kwangu unaonyesha dhahili kuwa...
Mtu unatoa michango yote ya ujenzi Wa kanisa/ msikiti lakini mwisho Wa siku tena unaombwa UJITOLEE MANPOWER
Unachangia bima ya nyumba au Gari kwa bei kubwa lakini mwisho Wa Siku LAZIMA UWE NA FIRE...
habari wana Jf ..
Niende moja kwa kwenye mada, kwenye maisha sio kila kitu waweza kumiliki yaweza kuwa sababu tumetofautiana uwezo na tunaishi kwa kusaidiana/kufaana (ujirani mwema) kwa kushea...
Habari za mchana wakuu
Wakuu huwa kuna siku nakuwa niko free sasa nimepata wazo Nilikuwa na nia ya kujitolea kufanya kazi yoyote kwenye non profit organization zinazo hudumia watu mfano...
Kuna taarifa kwamba, shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA litafanya mkutao na wanahabari kutoa tamko juu ya mafao. Je, TUCTA watakuja na nini jipya kwa serikali na wafanyakazi iwapo...
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesitisha likizo zote za watendaji wakuu wa mkoa na wilaya ili wasimamie ujenzi wa madarasa mapya kwenye shule za sekondari.
Mndeme ametoa agizo hilo...
Naanzisha uzi huu sio kwa nia ovu bali naangalia usawa ulivyo meza za machinga sasa zipo madukani bidhaa zinazouzwa na hao machinga zinafanana na zilizopo madukani.
Huyu machinga yy kama analipa...
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa Pergola, ni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, kuwaletea taarifa hizi live, za Kongamano la kwanza la wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Kairuki...
Misahafu inasema hakuna mkamilifu LA hata mmoja chini ya jua..
Kama hakuna mkamilifu basi hata miundovitu vya mwanadamu sio kamili, kamilifu, timilifu....
Tukio lolote la kupanga huacha alama ama...
Ukiwaza muda mwingine yanayotokea katika Mahakama zetu (kwa baadhi ya judicial officers, anyway), unawakumbuka hawa kama alivyowaelezea Onesmo: The BOLD SPIRITS within the judiciary beyond compare...
Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar amesema leo Novemba 29, 2018 katika maeneo ya Ufi-Ubungo Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi sita.
Pia katika tukio hilo Polisi ilikamata silaha aina ya AK...
Wakuu kuuliza sio ujinga,je! Jambo usiloliamini linaweza likawa na nguvu juu yako??
Mfano, adhabu za kaburi kulingana na dini ya kiislam kwa watu waovu kulinganisha na mtu aliyekufa hana lolote...
Pamoja na Bank hizo kuwa na kiwango cha chini ukilinganisha na kile kilichozoeleka mjini Arusha
Sasa kubadilisha hela ni lazima kutimiza masharti waliyo jiwekea wenyewe;
DTB BANK – hawaruhusu mtu...
Ajali ya Rungwe na Tuombe Mungu maeneo ya Iyovi daraja mbili. Yamegongana uso kwa uso. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Eee Mungu epusha madhara kwenye ajali hii yasiwe makubwa.
=====
Basi...
Kwa kipindi kirefu naliona limetelekezwa, lina tatizo gani? wajuvi mtujuze nini linafanya lisitumike jengo hili kubwa, limekuwa ni makazi ya ndege na linalindwa kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.