EmmilyPM
Member
- Nov 14, 2018
- 56
- 65
_Ili uanzishe biashara unatakiwa uhakikishe mtu unayemwajiri umemfanyia majaribio ya kutosha ili kupima uwezo wake na ujuzi ili awe na sifa, kwasababu kuajiri watu wenye uwezo mdogo inaua biashara.
_______Mfanyabiashara anapaswa kuwa makini wakat wa kuajiri na endapo ataajiri watu wabovu watampotezea fedha na kuiua biashara,
UNADHANI NI SIFA ZIPI MFANYABIASHARA ANATAKIWA KUANGALIA PINDI ANAPOMWAJIRI MTU KWENYE BIASHARA YAKE TOA JIBU NA SABABU