ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,133
Hivi mahabusu kukoje jamani , ni nyumba au ni nini ? Maana naonaga watu wanaotoka mahabusu ile wakienda mahakamani wanakuwa wamenawiri , nguo nzuri na safi , na wenye furaha ... Aliyewahi sota mahabusu hebu atuelezee kukoje kukoje huko ndani na ratiba yake , treatment etc ....