Kumeibuka janga la waajiri kuitisha interview hewa na kuwataka wanaoomba kazi kulipa pesa ili waitwe kwenye interview. Mfano mzuri ni Happy English Medium iliyopo mkoa wa Kagera na Ndagara...
Kwa muda mrefu kama ilivyo kwa vyuo vikuu binafasi, chuo kikuu cha St John's tawi la Buguruni Malapa kumekuwepo na matatizo makubwa. Miongoni mwa matatizo haya ni upungufu wa waalimu, kutokuwepo...
Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
wakati sisi udenda unatutoka na SGR yetu, haya ndio mambo ambayo dunia imekua ikiyafanya nyuma ya migongo yetu.
Monorail and Maglevs ( treni zisizo na matairi ) speed ya ajabu...
Kwanza naomba niannze kwa kusema uzi wangu usiungwe na mwingine wowote...
Bila kupoteza muda naomba moja kwa moja nije kwenye mada, kumekuwa na tuhuma na shutuma mbalimbali ambazo zimekuwa...
Wanajamvi hii kitu inaitwa Brela online registration upande wa ku update informations za makampuni ni tabu sana , inatupa shida sana wadau.
Miezi sita imepita sasa bila mafaniki...
Habari wakuu,Leo nimecheka sana afu baadae nikawaza sana kile kilichotokea kwa mwaume mwenzangu, iko hivi mkewe amemgundua anamchepuko na Leo jamaa baada ya kutoka kazini mida ya saa mbili usiku...
*Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na...
Nina kitu kinanishangaza,. kunsikitishai na kushindwa kuelewa sababu za serikali kuruhusu wanafunzi kusitisha masomo ili kuwasubiri na kuwashangilia wasanii wa muziki au filamu wanapofika...
Kuna msichana akija gheto mpaka mvutanee, nguo mchaniane, mvuane kama vita sasa msichana kama huyu kondom utavaa sa ngapi ukimwachia tu kashapandisha nguo...mnatukwamisha kuvaa kinga hebu kama...
TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa baadhhi ya Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa...
Jamani sisi wa Tz tukubali tu live show hatuwezi ni bado sana tena sana. Huko Iringa nasikia tu mikono juu, piga kelele sijui tuendelee au tusiendelee. Wewe msanii tumekuja kukuona uki perfom live...
Habari wakuu
Tatizo la Watu kulala ovyo haswa wakiwa katika maeneo tofauti tofauti ni changamoto kubwa sana. Mara nyingi usingizi huu huambatana na uchovu usioeleweka ,Yaani unahisi viungo vya...
Kwa muda sasa watu wamekua wakipendelea kupiga picha kwa mtindo wa ‘selfie’ na imekuwa ni kitu cha kawaida lakini kilichoishangaza dunia ni aina ya selfie ama picha anazopiga mrembo huyu kutoka...
Kweli mmeniboa, Kenya Airways wanaanza matangazo Kiswahili, Ethiopian Airways wanaanza na Lugha yao, ila malimbukeni nyie mnaanza Kingereza halafu Subtitle za Kichini, Kiswahili badaeee, sio siri...
Kwa dalili zilizowazi chadema itaishiwa pumuzi kama CUF Bara ilivyo kufikia oktoba 2020, hivyo napendekeza wadau wote wa Jamii forum tuanzishe chama chetu ambacho kitachukua ushindi mwaka 2025...
Jamani pesa tamu sana. Salaah wa Silent Ocean mdogo wake Gharib kagonga na gari watu wawili mitaa ya Viva Tower na wote kufa papo hapo na kakaa polisi dakika 40 tu na akaachiwa huru lakini...
Habari wakuu
Mwenye nyimbo iiitwayo MKONO WA BWANA
iloimbwa na wana kunyatanyata Tabata
Nimuone tafadhali
maana nimeisaka kila kona hadi youtube bila mafanikio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.