Shobi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,401
- 4,391
Salaam
Kuna led tv aina ya sony bivaria imetoka dubai sasa lugha ilikuja nayo ni kijapani nimejaribu kugoogle niweze kubadili lugha napata ipo kwenye setting lakini kila nikijaribu kuingia setting kuna meseji inapop up katika kijapani kisha inapotea na setting haifunguki...msaada tafadhali