Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu sita wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wameuawa baada ya kuzuka kwa mapigano ya risasi na kikosi maalumu cha polisi cha kupambana na uhalifu Dar Es salaam
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Vyama vya wafanyakazi Tanzania vimelegea sana labda hawajui ni kitugani kinaendelea kwenye haya makampuni dhidi ya wafanyakazi ni unyanyasaji mkubwa. Vyama vya wafanyakazi hata havijulikani na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa anayesafiri kesho asubuhi na private car (gari ndogo) anayepita hapa Dom Tafadhali PM . Posho ipo. #serious. Plz plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli sisi bado sana, yani mpaka sasa hakuna taasisi yeyote au msemaji wa taasisi yeyote inayohusika na mambo ya geology au ulinzi au mambo ya anga au majanga ambaye ameweza thibitisha ni kitu...
18 Reactions
109 Replies
11K Views
Kila nchi duniani ina sifa zake kwenye ishu ya hali ya hewa ambapo kwenye nchi nyingine kuna Joto na kwengine kuna baridi pia wengine wakiwa na hali ya hewa ya wastani, 1.QATAR Wakati wa msimu...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Jumatatu Desemba 3, 2018 inatarajiwa kusoma hukumu ya kesi inayomkabili wakili maarufu nchini Tanzania, Median Mwale na wenzake wawili baada ya kukiri makosa. Katika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo nataka niwazungumzie SUMATRA katika suala zima la kukata vibali magari ya mizigo. Kumekuwa na mtiririko wa kukamatwa barabarani kwa kupigwa faini kubwa sana ya sh 250,000 iwapo gari yako...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
MANA ILIYOSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI. Katika agano la kale, wakati wana wa Israeli wakiwa safarini kuelekea nchi ya ahadi, walioahidiwa na Mungu mwenyezi, tunaona Bwana Mungu, alijua shida iliyokuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tatizo kubwa la kuadimika kwa bia za serengeti. Kiwanda kilitakiwa kitoe taarifa kwa wateja wake ili tujipange lakini hawakufanya hivyo na kuisababishia usbufu usio wa lazima. Jitahidini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za majukumu Hivi inwezekana kutowa Hela ATM ukiwa nje ya nchi kwa kutumia card ya CRDB visa card. Ili kuepusha maswala ya kuchange hela nchi hizo za kigeni.
0 Reactions
77 Replies
14K Views
Ni swali la mjadala. Kwamba; Mitandao ya Kijamii ni RAFIKI au ADUI wa Vyombo vya Habari vikongwe i.e Televisheni, Redio na Magazeti? Tunakumbuka jinsi tulivyokuwa tukifuatilia ratiba za...
2 Reactions
8 Replies
856 Views
NAFAHAMU umewahi kuona ng’ombe wengi lakini wengi wetu hatujawahi kumuona ng’ombe mkubwa duniani na hata kama tumemuona basi naamini tutakuwa hatujui mambo mengi yanayomhusu mnyama huyo. Ng’ombe...
2 Reactions
43 Replies
18K Views
Kwa mliopitaga Udsm miaka ya 2005/2006 hadi around 2010/2011 na ambao mlikuwa MNA hang out na kundi la walevi wa ud kama kina Sajo wa daz nundaz, yule mzungu wa kuitwa Afande Jesus et al, mtakuwa...
6 Reactions
91 Replies
12K Views
Unakuta mtu mwanaume, unampita hata kwenda matembezi tu, anakwambia , Mimi siwezi kwenda Sina hela,hi huwa imekaaje? Kutembea hakuhitaji hela!!!!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Nahtaji bima ya afya ya NHIF kwa ajili yangu binafsi sipo kwenye ajira, nilienda NHIF nikaambiwa kwa mtu binafsi inatakiwa kama 1.5M hivi, lakini nikaambiwa kama nina kikundi...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Katika pitapita yangu Michuzi naona harusi ya mdogo wake kikwete. Mambo machache yananivutia 1. Kwanza kama vile anayeoa ni mkubwa kuliko mh (facial expression) 2. Harusi imefanyika VIWANJA VYA...
1 Reactions
116 Replies
61K Views
Kidumu Chama Cha Mapinduzi Habari za kuanguka kitu kinachodhaniwakuwa ni kimondo huko Kagera, Bukoma zimetawala sana hii wiki na pengine zikazidi kushamiri hata miaka ijayo. Simulizi mbali mbali...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
By Staff Reporter PRETORIA,S.A, 29-11-2018: WHEN President Magufuli’s ongoing reforms continue to receive worldwide accolades making African Union (AU) appealing to members to emulate him...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Merry X-mass Wana jamvi wenzangu... Natumai mnasherehekea vema x-mass sikukuu hii.. Pole kwa wote Ambao imekua tofauti na matajario na matakwa yetu, Mungu Awasaidie.. kuna kitu nmekua najiulza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana Jforum, nawasalimia kwa salamu zote. Husika & kichwa cha habari hapo juu"MAWAZO YENU/KWANGU". Pichani kama navyoonekana, ni Mimi MWANGAH nilikuwa maeneo ya kazi zangu ktk mkoa wa...
1 Reactions
5 Replies
937 Views
Back
Top Bottom