Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,087
Wana JF,
Kuna hii sheria ya kueleza pesa ulizonazo uwanja wa ndege unaposafiri. Je:
1) Ni kiasi gani kinatakiwa kuwa declared?
2) Je ni wakati wa kuingia Tanzania tu, ama wakati wa kutoka tu ama nyakati zote natakiwa ku-declare?
3) Declaration inafanywaje? Unataja kiaisi kwenye landing/departure form kama ilivyo katika nchi nyingine?
Nitashukuru kwa msaada wenu.