Nyumba inataka kubomoka

Nyumba inataka kubomoka

memael

Senior Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
104
Reaction score
166
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
 
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
Bila shaka msingi wako walijenga kimagumashi. Ukiweka msingi mzuri na kumwaga jamvi imara kwa kutumia mafundi wazuri siyo rahisi mchwa kutobowa jamvi la sakafu. Ukiwa na jamvi zuri loophole ya mchwa kupenya inabaki ni pembeni mwa msingi tu na huko unaweza kuwadhibi kwa urahisi sana. Kuna dawa za kutumia kama oil chafu na dawa za mchwa zinazouzwa dukani lakini bado tu changamoto itakuwa inarudi mara kwa mara hasa baada ya dawa kuisha nguvu. Kujenga msingi mzuri wakati wa kuanza nyumba ni kitu muhimu sana.
 
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
Unauliza mchwa au nyumba inataka kubomoka tuanzie hapo kwanza
 
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
Nchwa hawana dawa mkuu..hata ile wanavyosema sijui kumwagia oil chafu ktk mashimo yake pia ni uongo..dawa ni moja tuu watafute wataalam waje kumsaka nankumchimbua malkia wao,ndio tatizo litakwisha..wako watu ndio shughuli zao hzo
 
Kama unabomba fungulia maji wiki moja watakufa wote, mimina na ile dawa ya kuoshea ngombe
 
tafuta oil chafu,
miminia kwenye sehemu walipo
 
Back
Top Bottom