watoa huduma za fedha mitandao ya simu

watoa huduma za fedha mitandao ya simu

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
naanza kama ifuatavyo:jana nilikwenda kuweka hela kwenye mtandao furani wa simu ilikuwa 1.2m,lakini sikuipata huduma hiyo kwakuwa muhudumu alisema hana default.nikaondoka nikaenda sehemu nyingine jibu nililopewa ni lile lile nilifanya zoezi hilo hadi mara 5 sehemu tofauti tofauti lakini sikufanikiwa.ninawashauri wote mnaotoa huduma hii muwe mmejikamilisha yaani mtaji uwe vizuri,vinginevyo mtatusababishia kuibiwa na vibaka tunapotembea na pesa huku na huko kutafuta huduma na vibaka wakijua una hela wanaanza kukufuatilia. Ahsante
 
Kuepusha usumbufu na kuibiwa weka kidogo kidogo mpk ufikie lengo
 
sasa we unakaa mtaa ambao mzunguko wa pesa kubwa ni 150k, hapo unalia lia nn ?
 
Wamegundua mnaojifanya mnaweka pesa nyingi mnawachora. Na kurudi kuwaibia

Nenda kwenye branch kubwa kubwa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
naanza kama ifuatavyo:jana nilikwenda kuweka hela kwenye mtandao furani wa simu ilikuwa 1.2m,lakini sikuipata huduma hiyo kwakuwa muhudumu alisema hana default.nikaondoka nikaenda sehemu nyingine jibu nililopewa ni lile lile nilifanya zoezi hilo hadi mara 5 sehemu tofauti tofauti lakini sikufanikiwa.ninawashauri wote mnaotoa huduma hii muwe mmejikamilisha yaani mtaji uwe vizuri,vinginevyo mtatusababishia kuibiwa na vibaka tunapotembea na pesa huku na huko kutafuta huduma na vibaka wakijua una hela wanaanza kukufuatilia. Ahsante
Wanasema hivo kuepuka kuibiwa.. unaeza kuweka kwake halafu baada ya dak mbili ukawaleta washkaji kuja kuzichukua maana una uhakika zipo... suluhisho ni kuweka kidogo kidogo hadi zitimie maana kuweka ni bure kabisaaaaaaaaaaaa..
 
naanza kama ifuatavyo:jana nilikwenda kuweka hela kwenye mtandao furani wa simu ilikuwa 1.2m,lakini sikuipata huduma hiyo kwakuwa muhudumu alisema hana default.nikaondoka nikaenda sehemu nyingine jibu nililopewa ni lile lile nilifanya zoezi hilo hadi mara 5 sehemu tofauti tofauti lakini sikufanikiwa.ninawashauri wote mnaotoa huduma hii muwe mmejikamilisha yaani mtaji uwe vizuri,vinginevyo mtatusababishia kuibiwa na vibaka tunapotembea na pesa huku na huko kutafuta huduma na vibaka wakijua una hela wanaanza kukufuatilia. Ahsante
Hana default
 
Back
Top Bottom