Ungekuwa wewe ndio konda ungemjibu vipi huyu abiria

Hamna noma abiria wangu
Kisha naenda kwa abiria mwingine namuambia "aisee chali yangu nimepungukiwa sh mia"
 
Dereva simamisha gari ashuke huyu dingi anazingua

Oya mama kaa pale mwambie huyo asimame hana nauli anadhani sie tuna sheli ya mafuta

Kama uliona nauli haitoshi kwanini hukutembea kwa miguu kelele nyingi kumbe huna nauli
 
Haya majibu yako vizuri, yameshiba.
 
Kosa kubwa nikupanda bila kusema ana nauli pungufu

Alitakiwa aseme chini kabla ya kupanda lakinimia tuhaina shida japomaneno yake angekoma
Konda hawezi kukusikiliza if huna kitu,me huwa napanda tu
 
Unataka tupigwe ban bure maana makonda wa huku buza kwa lulenge bila mtusi mazungumzo hayajakamilika
 
Ila konda daaaah . Kuna siku nilinyimwa chenji yangu baada ya kutoa 5000 akasema alishanipa. Nilikuwa nilete mlipuko gari zima ila ghafla moyo uliona poa tu nikaacha, sijui kiwango cha utulivu huo wa Phd ila sio ya jiwe ulitoka wapi.
 
Back
Top Bottom