MBONA UDSM RUSHWA ZA NGONO KITAMBO TU?

MBONA UDSM RUSHWA ZA NGONO KITAMBO TU?

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2012
Posts
462
Reaction score
343
Dr. ametonesha kidonda ambacho wenye kukiosha wanaufahamu uchafu wake.Udsm kuna department nagwa aka Konk kikonk sana.Pale FL nakumbuka vimbwanga vyake.Kuna sister mmoja toka Katavi aliisoma namba kwa kale ka braza K mpaka chuo kikaingilia kati.Dr.Kabird naye 2011 mpaka aliteuliwa U DC kule Kyela na Mzee wetu kurokana na kudaka totoz za Udbs kibao ili kulainisha iingie.Noma sana.Tatizo watoa taarifa siku hizi ni enemies.Ila ishu ni kubwa hasa kwa hawa bongofleva,baba kantuma na wala bata wakari hata njiwa hawafugi.Ni hayo tu,wengine tubaki wasikilizaji tu.Nah mean!
 
Na vyuo vingine vingi tu mambo ya rushwa ya ngono yanaendelea.mimi mwenyewe Nimewahi kukutana na lecture wangu yupo na mwanachuo wa mwaka was pili sehemu za starehe.ndo hivo Sasa unadhani utafanyaje mapenzi ya watu unaamua tu kuangalia na kukaa kimya
 
Hatari sana.Ni kweli tunakivhafua chuo lakini ili usafishe lazima utoe uchafu.

Kabird hatari sana hata pele vague vision wanamkoma kumwanya
 
Kabird msikie tu ndugu,kuna watu kama pochi zingeacha manyoya basi wangeshageuka masokwe.CL ilikuwa inampa sana pochi za manyoya ya waoga na wapenda A bila ganzi.
 
kama kweli ngono ni rushwa, bc magereza yatajaa raia sana mana kuna watu humu wanang'amua kila saa
 
Kinacholeta urushwa ni lengo la hiyo ngono na pengine mazingira yake.Siyo ngono kama ngono tu.
 
Rushwa ya ngono kati ya Lecturer wa Kiume na mwanafunzi wa Kike au Lecturer wa kike na mwanafunzi wa Kiume
Hii kitu haitakuja kuisha ata ikikemewa ..wanafunzi wa chuo wanapenda starehe sana hawana mda wa kusoma mwisho wa siku akikamatwa na ma sup hana namna na hapo ndo lecture wanajilia kiulain si unajua simba haachi nyama
 
Maadili ya jamii na taaluma ya mtu ndivyo jambo pekee.Waruhusu watu wawaseme waziwazi,utashangaa hadi mchungaji anakula kondoo wa bwana.
 
Na vyuo vingine vingi tu mambo ya rushwa ya ngono yanaendelea.mimi mwenyewe Nimewahi kukutana na lecture wangu yupo na mwanachuo wa mwaka was pili sehemu za starehe.ndo hivo Sasa unadhani utafanyaje mapenzi ya watu unaamua tu kuangalia na kukaa kimya
Lakini kupitia chuo hicho hicho magufuli alihonga na kupata PhD ambayo mpaka leo ina mashaka na utata mwingi sana.
 
Back
Top Bottom