Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanajamvi, kumekuwa na tatizo kubwa sana sugu ya maji kwa takriban mwaka mmoja sasa katika Manispaa ya Moshi na hasa zaidi katika viunga vya Manispaa hiyo kama vile Kariwa, Rau, Njiapanda, KCMC...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi...
6 Reactions
100 Replies
31K Views
Hawa watu kila unapofika uchaguzi wanaonekana kujiingiza matatizoni na vyombo vya usalama,wengi huishia kuuliwa na wengine kubak walemavu wa kudumu.....Hizo harakati zenu mnazozifanya haziwasaidii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, Mbele yenu ninahitaji kupata chumba kimoja tu cha kuishi pale Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Shekilango au hata popote pale karibu na mji. Nimesikia kuna ukiritimba na utapeli...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wasichana wanao Nyoa Nyusi alafu wanachora kwa Wanja nawaomba wanyoe nywele alafu Wachore Wivingi kichwani
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Sikatai muwakamate ila mnapowafuata bajaji na pikipiki mnawaomba docs zote wakiwa vituo vyao wanaonesha, bado mnawaambia waende kwenye defender asiyekuwa na hela anaondoka na polisi, hii sio haki...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama kuna vituko vya mwaka ni madiwani waliochaguliwa sasa. Diwani anaitisha kikao na wananchi anatoa siku 21 keeys club kuifunga lakini eo ni mwezi wa pili nahisi, msikurupuke kitu ambacho hamna...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ona sms walionitumia wahuni hawa(Vodacom) Ndugu mteja, simu yako sio halisi.Tafadhali tembelea maduka yetu ya vodashop ili ujipatie simu halisi na kwa bei nafuu kuanzia Tsh 20,000. Wahi sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KaMa kichwa cha habar hapo juu nakumbka nikiwa shule nlishuhudia watu wanapiga msuli mrfu wengi hupungua mwili kukonda japo kula wanakula vilevile kusikia njaa baada ya kupiga msuli...Hii hali...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Idara ya Uhamiaji Mkoani Kigoma imekamata wahamiaji 765 kutoka DRC- Kongo na Burundi Walikuwa hawana vibali na waliingia nchini kinyume cha sheria.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samuel Lundström 'Fundi Samweli' ni mtayarishaji wa Muziki kutoka nchini Sweden ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa akifanya kazi hapa nchini, Project ya Muziki iliyofahamika kama Sauti za Afrika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MKAZI wa Kijiji cha Ikondamoyo, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Veronica Salehe (54), aliyeoa wanaume wawili kwa kipindi cha miaka tisa amefariki dunia. Akizungumza na waandishi wa habari juzi...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Baada ya kutuma EMEI ya simu yangu kwenda namba 15090,nilijibiwa hv; Samsung Korea - Samsung SM-J200H - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wahusika kama mnapitia humu okeoni watu Musoma vijijini, ninapoandika bandiko hili katika kijiji kimoja tu cha Chitare kuna vifo vipya vitano (misiba mitano) mheshimiwa mbunge Pro Mhongo wapiga...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
wadau humu ndani, hebu nisaidieni.... haya mashindano ya ZAIN kwa vyuo vikuu Africa, hivi vya Tanzania ni kwamba wanafunzi wetu ni mazoea ya kudesa au kuna tatizo jingine... mbona kila wakati...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Sasa siyo siri tena kuwa maisha yamekuwa magumu ambapo kama usipokuwa mbunifu unaweza kujikuta hela / pesa yako yote ya mshahara unagawana na makondakta na kuishi maisha magumu sana. Hivyo...
6 Reactions
91 Replies
8K Views
Raia kumi wa Kenya wameituhumu Serikali ya Tanzania, kwa kukamatwa kwa kuwateka jijini Maputo nchini Msumbiji Januari 2006, ambako walikuwa wakiishi kihalali wakitafuta fursa za biashara, na kisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nitawajuza baadae kama nitaimaliza siku salama bila kutiwa mikononi mwa police kwani habari ni ndefu kidogo Ila kwa kifupi kuna mtu nimezinguana nae kibiashara loading... Update... Kuna...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Meneja wa Miundombinu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Mhandisi Mohamed Kuganda (kulia), akitoa maelekezo kwa wadau wa usafirishaji jijini Dar es Salaam jana. Wakala wa Mradi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hbr Ya Asbh Wanajamvi, Naomba Kujua Hili Suala La Kubana Au Kupunguza Matumizi Ya Serikali, Kumbe Lina Mipaka!!!?? Maana Kati Ya Maeneo Ambayo Serikali Inapoteza Pesa Na Wajanja Wanapiga Mapesa Ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…