Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,162
- 17,315
Hawa watu kila unapofika uchaguzi wanaonekana kujiingiza matatizoni na vyombo vya usalama,wengi huishia kuuliwa na wengine kubak walemavu wa kudumu.....Hizo harakati zenu mnazozifanya haziwasaidii cha kufanya ni kitu kimoja tu kama mnataka kuitawala Zanzibar ....Achanani ni huo ujinga wa kuchomeana nyumba,kuchoma zahanat mkizani mnaikomoa serikali kumbe mnajikomoa wenyewe maana hiyo zahanat unayoichoma moto kesho ww au ndugu yako ataugua atahitaji kuitumia tofauti na hao viongoz wa serikali ambao wakiugua wana uwezo wa kwenda kupata matubabu popote pale......
Cha kufanya Chukueni watoto wenu peleken shule wapate elimu,waleteni hata bara maana sisi hatuna ubaguzi kisha wakishapata elimu waingie kwa wingi kwenye vikosi iwe SMZ,JKU,Magereza,JWTZ,Police,Mafunzo,na kwenye sekta za umma na kwenye vyombo vya maamuzi...
Mkifanya hivyo mtapata mnachokitaka kuliko huo ujinga mnaouendeleza sasa ambapo mwisho wa siku mnaishia kufa na wengine kuachwa walemavu.