Spokesperson
Member
- Sep 21, 2015
- 19
- 7
Habarini wadau,
Mbele yenu ninahitaji kupata chumba kimoja tu cha kuishi pale Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Shekilango au hata popote pale karibu na mji.
Nimesikia kuna ukiritimba na utapeli uliokithiri pia. Sasa ninahitaji msaada wa mtu yeyote kuniwezesha (kama inawezekana) kupata chumba. Nitampoza kama dalali pindi akinifanikishia jambo hili.
Ninahitaji nihamie mwishoni mwa mwezi huu.
Ninawakilisha!