Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako...
18 Reactions
134 Replies
14K Views
HII nimeikuta kwa kiongozi wa kikosi cha utetezi wa kweli.... Mwanamama korofu kiboko ya wababe.... Mange Kimambi akijaribu kutuelezea uzinduzi wa leo wa barabara
0 Reactions
5 Replies
856 Views
Unachapisha Gazeti leo Kurasa 20,. lakini hakuna mahali popote limeripoti Msiba wa Kitaifa wa Sir George Kahama (Mmoja wa waasisi wa Taifa hili)...ni mwendo wa Propaganda za Kisiasa ktk kurasa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtoto mmoja jijini Mwanza amefariki baada ya kuangukiwa na jiwe kichwani baada ya kuporomokea kwenye nyumba yao wakiwa wamelala ndani. Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF Hata kama wewe ulikuwa unashika mkia mkoani, huwezi shindwa kuongoza wanaume wa Dar. Wao hata wakijua udhaifu wako sana sana watakusuta katika ibada na mitandao ya kijamii...
1 Reactions
1 Replies
643 Views
Nataka nifoji cheti. Naombeni ushauri wenu wadau.maana nimegundua waliofoji wana bahati sana ya kupata kazi
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Karibu Tanzania mahali pekee ambapo mvua ikinyesha watu hawafikirii kulima, wanafikiria kulimana.
0 Reactions
Replies
Views
Habari wakuu Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite. Amewakosea nini?
20 Reactions
1K Replies
191K Views
Jeshi la polisi Sumbawanga manuspaa wamekamata mihadarati kwenye basi la abiria maarufu kama mabwe safaris yanayofanaya masafa ya kwenda mabwe/mpakani mwa Zambia na Tanzania Unga huo ulikuwa...
1 Reactions
9 Replies
872 Views
Ile idhaa pendwa bbc english service imerudi hewani kwa wale wanaopenda habari za duniani muda wote
0 Reactions
6 Replies
802 Views
  • Redirect
wale wote mabingwa wa kubet basi leo ipeni Man UTD ukiwapa wazee wa kubaki basi (Chelsea) umeliwa
0 Reactions
Replies
Views
No content to show
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Enzi za mwalimu nakumbuka alikuwa mh Dr Mwakyusa,ni utaratibu wa viongozi wakuu kuwa na madaktari hususani Raisi na waziri mkuu Je madaktari wa hawa viongozi wa juu wa awamu ya nne ni akina nani...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
  • Redirect
Mafuriko katikati ya mji leo. Tunaomba Mh. Daudi Bashite RC mkuu wa ubunifu atuondolee tatizo hili. Tena imekuwa vizuria amerudi wakati muafaka siyo azindue barabara mpya tu. Atengeneze pia miundo...
1 Reactions
Replies
Views
Habarini za asubui.wana Jf, wakubwa zangu shikamooni wadogo habari zenu!! Wakuu kwa upande wangu mimi sioni kama kuna haja ya mtu kujivunia kuwa kabila fulan tena mbele za watu ,kwa sababu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Arfi Said aligombea kura za maoni Ubunge CCM Jimbo la Mpanda Mjini 2015 ...eti Leo wanasema amejiunga na CCM na wanampokea .....What a shame? Mwingine Moses Machali aliyejiunga na CCM mwezi...
16 Reactions
58 Replies
8K Views
JE INAWEZEKANA MUNGU NDIYE AMEAMUA KUMUUMBUA GWAJIMA AU GWAJIMA HAKUMPANGA VIZURI YULE MAMA?? Nimetazama kwa makini video (video nimeiweka kwenye comment) inayomuonyesha Mchungaji Gwajima...
34 Reactions
80 Replies
11K Views
  • Redirect
•Kaa na wafanya biashara wote uone changamoto zao na kwa nini biashara zimedumaa. •Tutengenezee kodi jiji / kila mkazi na anayeingia jijini dar awe akitozwa kwa mwaka. •Hakikisha jiji linaoperate...
0 Reactions
Replies
Views
Ni kawaida kwa watu kuficha na wakati mwingine kudanganya umri wao pengine kwa kuhofia kuonekana ama wadogo sana au wakubwa zaidi katika kundi la watu. Utafiti uliofanywa unadai unaweza kuendelea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom