kusoma sana na kukonda(kupungua mwili) ama kusikia njaa..

LINCO

Member
Dec 16, 2015
34
13
KaMa kichwa cha habar hapo juu nakumbka nikiwa shule nlishuhudia watu wanapiga msuli mrfu wengi hupungua mwili kukonda japo kula wanakula vilevile kusikia njaa baada ya kupiga msuli...Hii hali inatokana na nini
 
Unapokua unasoma sana unaufikirisha sana ubongo.Ubongo ni organ delicate sana na inategemea glucose kutengeneza nishati.Kuna sakiti tata sana za umeme zinazotegemea nishati.Ukiutumikisha sana ubongo utahitaji glucose nyingi

Kukonda pia hudababishwa na stress..Ni kwa namna gani stress zinakondesha nitarudi tena
 
Back
Top Bottom