Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata jibu maana kwa asilimia kubwa ya minara inayotuzunguka lazma kule juu kileleni huwa kuna taa nyekundu nyingine zinawaka na kuzima nyingine zinawaka moja...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Wengi huogopa kwenda nje ya nchi kutafuta maisha.Ili kujifunza angalia vipindi vya DARING ABROAD VYA WAKENYA ambavyo viko kibao kwenye youtube.Andika kwenye google DARING ABROAD KENYA YOUTUBE...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji. Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ila maeneo yapo...
11 Reactions
124 Replies
12K Views
  • Redirect
Serikali kupitia Wizara Ya Afya imevifuta Vituo vyote vinavyotoa huduma za Afya ya VVU Na Ukimwi kwa Makundi Maalum baada ya kubainika kwamba Vituo hivyo vinahusika na kuhamasisha Mapenzi ya...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mchungaji Gwajima afanikiwa kununua treni na kuwa mtu wa kwanza Afrika kuwa na treni yake binafsi angalia video hapo chini
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ngoja tusubiri tarehe ifike tuone Kama kuna Tija au ni kuumiza kwa garama
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mfumo Mpya wa Kutumia Namba za Simbu Kuanzishwa Mwezi Ujao,Utaruhusu Kuhama Mtandao Mmjoa Kwenda Mwingine Bila Kununua Laini Mpya. Mfumo mpya wa matumizi ya namba za simu (Number Portability)...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau habari zenu? Kuna trafiki mmoja mweupe na ni kijana,Leo(14/2/17) amekuwepo eneo la eneo Memorial(high way ya Arusha to MOSHI). Huyu trafic amezidi kusimamisha magari na kuyatafutia makosa...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
  • Redirect
Hakuna asiejua ni ujasiri kiasi gani aliojivika ndugu yetu na kiongozi wetu mwenye nia ya dhati na uchungu kwa vijana (maana ndio wahanga wakubwa) wanao angamia katika janga la dawa za kulevya...
0 Reactions
Replies
Views
Hakuna asiejua ni ujasiri kiasi gani aliojivika ndugu yetu na kiongozi wetu mwenye nia ya dhati na uchungu kwa vijana (maana ndio wahanga wakubwa) wanao angamia katika janga la dawa za kulevya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Inauma sana kusikia au kuona ndgu zako wanaumia,wanateseka,huku hakuna juhudi yeyote Hawa msumbiji tumewasaidia wenyewe FRELIMO,ukija south africa halikadhrika india ndugu zetu walipigwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana Jf Hi. Niko Dar, nataka kuja kijijini kwenu kununua vyakula ili kisha nije kuuza Dar. Naomba kujua bei za vyakula vifuatavyo huko uliko ili niweze kufanya tathmini ya faida/hasara:- (i)...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo nimemsikia kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kipindi cha michezo cha radio moja akidai vipimo vya mkemia mkuu vimeonyesha kuwa Manji anatumia madawa ya kulevya hivyo bado...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
KUHUSU YANAYOTOKEA MSUMBIJI Ni vema sasa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ikachukua hatua dhidi ya mauaji,utesaji,unyanyasaji,ufilisiwaji unaofanywa kwa Watanzania waishio Msumbiji...
0 Reactions
Replies
Views
Wakati wakazi wa Kagera na Mwanza wakisubiria ahadi hewa ya miaka mingi ya serikali ya kuletewa meli mpya baada ya kuzama kwa MV Bukoba, kampuni binafsi ya Uganda ya Equetorial Wild Safaris...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
  • Redirect
! ! Samahani sana wadau.....Naomba kwa anayejua njia ya kuondoa uchafu kwenye pasi, moja na mbili ni nini cha kuzingatia ili uchafu huo usijirudie katika [asi ya umeme. Pasi ya nyumbani kwangu...
0 Reactions
Replies
Views
Jay Bennett,Popular Mechanics Tue, Feb 14 9:13 PM GMT+3 From Popular Mechanics Back in December, Donald Trump caused a rucks when he tweeted that the costs for replacing Air Force One jets...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
  • Redirect
Mm naomba kuuliza kwani ugolo sio dawa za kulevya maana vijana wengi wana tumia ugolo kama wana kataza bangi unga wakataze naugolo viroba wengi wame athirika na viroba pamoja na ugolo ukienda...
0 Reactions
Replies
Views
Nilikuwa Tanga hivi karibuni,likapita gari la matangazo,kukataza wafanyabiashara kupanga vitu nje,pamoja na wanaofanyabiashara barabarani.Inakuwa vigumu sana kwa watembea wa miguu,kupata sehemu ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom