Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
113K Views
Tumedanganywa sana, tumebagazwa sana, tumelaliwa sana ,tumechezewa sana kwenye hili swala la corona Nchi ambazo wamechanjwa wengi ndiyo wanaambukizwa Omicron kwa kasi. Utafiti haufanyiki...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze...
40 Reactions
206 Replies
22K Views
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Marekani (CDC) kinashauri kupata chanjo bila kujali ikiwa tayari ulikuwa na COVID-19 na ukapona. Ushahidi zaidi unaendelea kuibuka kuwa watu wanapata kinga bora kwa...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Kabla ya kuchanja rasmi leo Chanjo yangu ya UVIKO-19 aina ya J&J nilijaribu kuwataarifu watu kadhaa, ila cha kushangaza wote waliishia kunitishia huku wengine waitaka ninunue kile cheti cha...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi? Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo. ===== Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Sijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni. Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu. Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja...
0 Reactions
7 Replies
765 Views
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai. Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu. Ulikuwa ni ugonjwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Naomba msaada wa link ya kudownload certificate ya chanjo ya Covid-19
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Hadi leo, 🇹🇿 imetoa chanjo kwa zaidi ya 95% ya watu wanaostahili kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19. 🙌 Mafanikio haya ktk afya ya umma yamewezeshwa na wahudumu wa afya walio mstari wa mbele...
1 Reactions
1 Replies
273 Views
Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa...
9 Reactions
165 Replies
10K Views
Kiukweli uviko 19 au corona ilitikisa dunia na kufikia kupoteza watu wengi. Kipindi cha mwendazake kutuambia mungu kaondoa uviko 19 baada ya kuomba mimi kwangu nililipa asilimia 2%. Uviko 19...
2 Reactions
19 Replies
548 Views
“Hatuwezi kumaliza janga isipokuwa tukifunga pengo hili.” Ni kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa, Dkt Tedros Ghebreyesus katika mkutano na waandishi wa habari hii leo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Imekuwa kawaida kwa mawimbi ya hii ngwengwe kukatiza duniani mwishoni mwa mwaka kuelekea mwanzoni mwa miaka mipya. Rejea historia, mengi yanajiongelea menyewe. Tayari nchi kadhaa zikiwamo India...
0 Reactions
10 Replies
557 Views
Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Wanabodi, Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari. Karibu. Paskali TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA? Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD)...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom