Wahamiaji 765 wakamatwa Mkoani Kigoma

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Idara ya Uhamiaji Mkoani Kigoma imekamata wahamiaji 765 kutoka DRC- Kongo na Burundi

Walikuwa hawana vibali na waliingia nchini kinyume cha sheria.
 
Kama walikuwa wanapita juu kwa juu kuelekea Nchi nyingine, wawasaidie wavuke/watoke nje ya Tanzania.

Ila kama walikuwa wanaishi Nchini kinyume na sheria.

Hatua za kisheria zikuchukuliwe, warudishwe nchini mwao
 
Idara ya Uhamiaji Mkoani Kigoma imekamata wahamiaji 765 kutoka DRC- Kongo na Burundi

Walikuwa hawana vibali na waliingia nchini kinyume cha sheria.
Hao haramu unawajuaje? Maana nimekaa Kigoma warundi na WAHA ni kama ni dugu moya.....
 
Huku tabora kaliua usinge warundi wengi sana lakin hawafanywi kitu afu naona kama ile operation imepoa sana au zilikuwa nguvu za soda.
 
Back
Top Bottom