GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Sasa siyo siri tena kuwa maisha yamekuwa magumu ambapo kama usipokuwa mbunifu unaweza kujikuta hela / pesa yako yote ya mshahara unagawana na makondakta na kuishi maisha magumu sana.
Hivyo binafsi nimetafakari sana na nimeona kuwa inabidi nijiongeze ili maisha yaende sawa nimeamua sasa rasmi kuwa mbunifu kwa kukwepa kulipa nauli.
Tafadhali kama kuna member yoyote yule mwenye ujuzi mbadala wa kunifanya niweze kuwakwepa makondakta katika kuwalipa nauli zao au kuchengana nao mule mule ndani ya basi anisaidie na nitamshukuru mno.
Kila siku najitahidi kuwakwepa lakini wananishtukia tu.