Wengine wataona kuwa ni swali la kipuuzi.
Mfano, Nyimbo ya taifa ingetolewa video moja kali inayoonyesha historia na vivutio vya nchi halafu ikawekwa kwenye platform kama Youtube n.k si tungekuwa...
Yaan tokea mwaka 2003 nilipotambua utamu fulani, ikabidi nizichezee tamu za watu, sweet part of their bodies,
Niwe mkweli huwa sipendi kutumia mpira,
Nimetembea na Barmaid wawili bila kinga...
Siku nzima ya leo naona channel hizi zimepotea na hakuna notification yoyote inaonekana.
Wenye taarifa watusaidie, au kuna settings zinahitajika kufanyika?
Kingamuzi changu ni STAR TIMES
Ottoman empire ni himaya iliyotawala dunia toka mwaka 1299 mpaka 1922, je vitabu vya dini hasa biblia na Quran vinasemaje kuhusu hii himaya, cc zitto junior, mshana jr,sala na kazi, son of gamba...
Wakuu heshima kwenu nyote.
Ninahitajika kufanya malipo ya serikali ya lazima wk ijayo 1/7. Lakini nikiangalia ratiba zangu naona sitaweza kufanya malipo hayo hadi J’tano 3/7. Je kutakuwa na...
Wanajamvi nipo mji wa Shinyanga, kila sehemu unayosimama inanuka mikojo. Iwe sokoni, kwenye vijiwe, bar, barabarani.
Sehemu zote zinanuka mikojo. Hebu hii Halmashauri wachukue jukumu la...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu..
Kwanza punguzeni shobo mnapo panda Bodaboda huku mnatushika Mabega yetu.
Pili mnatukera sana (wengine) wanakwenda wanachati simu zikiwa...
Habari wakuu,
Kama eneo lina square meter 100 (100 m²) tafsiri yake rahisi ni ipi?
Je maana yake kila upande uko sawa kwa mita 100 kwa maana ya urefu na upana?
Au eneo linakua kubwa au dogo...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa mabasi ya Dar-Mwanza ni basi lipi lina huduma ya kuchaji simu ndani ya basi?
Wakuu sorry nilidhamiria kuandika Mbeya-Mwanza na si Dar-Mwanza.
Wakuu poleni kwa shughuli za kutafuta riziki, walioko nyumbani kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa wiki basi tuwalee pia watoto wetu vizuri kupunguza ma snitch siku za usoni.
Kuna hii tabia...
1, Majinja
DSM, Mby Sumbawanga.
Basi hili ni bovu sana Na linakimbizwa sana.
Halina mlango wa dharura, kizima moto, triangles Wala kitu chochote cha tahadhari.
2. Super Najmusa
DSM to Mwanza...
Mabasi ya mikoani yaonyeshe sinema ambazo zinafaa kuangaliwa na familia. Sinema yoyote yenye kuhitaji maamuzi ya mzazi (PG) au zaidi ya hapo, zisionyeshwe kwenye mabasi kwa vile mzazi hana uwezo...
Hili ni janga kubwa sana.
Pamoja na kuwa na mabasi mzuri na kisasa ila upande wa burudani makampuni karibu yote yapo nyuma.
Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la...
Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a CCM kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu
Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi...
Ndugu watanzania wenzangu,
Ikiwa yapata siku kadhaa kupita baada ya kurudi nyumbani (CCM) Mheshimiwa Edward Lowasa,mimi kijana ambaye nilivutiwa na mawazo yake na fikra zake juu ya maendeleo ya...
Habari wadau..
Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo
Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua...
Leo nilipanda kosta ya kawe nikakaa siti ya kwanza kabisa pembeni ya mlango.Njiani akapanda mmama watoto wanne na binti,sasa yule mama akambwaga mtoto mmoja miguuni kwangu asiseme kitu.
Me...
Wakaguzi nchini marekani wamegundua tatizo jipya katika ndege ya kampuni ya Boeing chapa 737 max ambalo huenda likachelewesha kurudi kuhudumu kwa ndege hiyo.
Utawala wa safari za anga nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.