Hivi hili suala la kubana matumizi ya Serikali lina mipaka?

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hbr Ya Asbh Wanajamvi, Naomba Kujua Hili Suala La Kubana Au Kupunguza Matumizi Ya Serikali, Kumbe Lina Mipaka!!!?? Maana Kati Ya Maeneo Ambayo Serikali Inapoteza Pesa Na Wajanja Wanapiga Mapesa Ni Ktk Hili Ununuzi, Uendeshaji Na Matengenezo Ya MA-VX, Ambayo Yanatumiwa Na Serikali Yetu!! Leo Kuanzia Ikulu, Wizara, Idara, Taasisi Na Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama, Eti Leo Wakuu Wa Mikoa Ambao Mikoa Yao Ina Matatizo Lukuki, Lkn Mkuu Wa Mkoa Ananunuliwa VX La Mamilioni Ya Sh. Na Ambalo Linaendelea Kuligharimu TAIFA Ktk Matumizi Ya Mafuta, Matengenezo Na Spea!!! Eti Anaenda Kutembelea Wananchi Hao Wenye Shida Lukuki, Kama Vile Maji Safi Na Salama, Dawa Mahosptalini, Majengo Ya Utawala Na Wodi, Madawati, Madarasa, Waalimu, Vyoo, Barabara N.k.!! Sasa Nilidhani Huu Ndio Ulikuwa Muda Muafaka Wa Kuachana Na Manunuzi Na Matumizi Ya Magari Haya, Ktk Ile Dhana Ya Kubana Na Kupunguza Matumizi, Ambayo Serikali Hii Ya Awamu Ya 5 Chini Ya Magufuli, Imeanza Nalo Kwa Nguvu Kubwa!! Ila Kuendelea Kuyanunua Na Kuyatumia Bado Ni Yale Yale Tu!!!! Ndio Nauliza Kubana Au Kupunguza Matumizi Yana Mipaka!!!?? Ni Kuzuia Mikutano, Warsha, Semina Na Safari Za Viongozi Tu!!!!!!!!!????
 
Samahani lkn magari hayo uliyoyataja yanaumuhimu kushinda unavyowaza, na ndio dunian ya leo hauwezi kiongozi ukampa mgongo wa chura au land rover 109,kisa kubana matumizi. Kwa mawazo uliyonayo hata suti utasema anasa
 
Samahani lkn magari hayo uliyoyataja yanaumuhimu kushinda unavyowaza, na ndio dunian ya leo hauwezi kiongozi ukampa mgongo wa chura au land rover 109,kisa kubana matumizi. Kwa mawazo uliyonayo hata suti utasema anasa
Mkuu Umejibu Wa Sifa Na Ubora! Au Kwa Mtazamo Wako Kwa Mujibu Wa Itikadi Yako Kisiasa!!? Maana Kusema Kuwa RPC, RC, Maafisa Wa Usalama, Makamishina Wa Wizara, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Manaibu Waziri Na Mawaziri!! Eti Wanahitaji Magari Ya Aina Hiyo, Ili Kuweza Kutekeleza Majukumu Yao, Ni Uongo Mtakatifu Na Upotoshaji Mkubwa!! Kama Ingekuwa Kweli Na Si Upotoshaji, Aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Angekataa Na Kusema Magari Hayo Yanaifilisi Nchi!!!? Japokuwa Alishindwa Kulisimamia Hilo Ktk Serikali Yake Nzima!!! Eti Unazungumzia Hbr Za Bito Mgongo Wa Chura Na L/ Rover 109, Kuwa Ndio Tunahitaji Viongozi Na Watumishi Wengine Wazitumie, Ni Kujaribu Kupotosha Tu!! Coz Hata Aina Hizo Za Magari Hivi Sasa Ni ADIMU Mno!! Sasa Zitatoka Wapi Sijui!! Lkn Pia Kwa Taarifa Yako Kuna New Model Za Hayo Hayo Magari, Ambayo Ni Mazuri Na Imara Mno, Ambayo Yanaweza Kuttumiwa Na Hao Watu Wako, Mf. Ni Zile L/Rover Dis. Zilizotolewa Kwa Ma -RPC Na Mawizarani!! Kama Ww Hauna Mawazo Mgando, Hebu Tuambie Kwanini Magufuli Alihoji Wkt Akilihitubia Bunge, Kuwa Namnukuu "Iweje Mhandisi Mkuu Au Msaidizi Wake Anaenda Saiti Kukagua Miradi Ya Ujenzi, Anakwenda Na LANDCRUISER VX! Kwanini Asitumie Landcruiser Hardtop Mkonga!!!? " Je, Ww Na Magufuli Ni Nani Mwenye Kuujua Ukweli Na Ameutambua!!!!?
 
Back
Top Bottom