Sielewi U_feki wa simu yangu?!!

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Baada ya kutuma EMEI ya simu yangu kwenda namba 15090,nilijibiwa hv;
Samsung Korea - Samsung SM-J200H - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuwa BANDIA
MWENYE UELEWA JUU YA HILI TAFADHARI
 
Mkuu kama kuna watu wanataka kuendeleza ugumu wa maisha basi ni hawa Tcra wanatuchanganya na sms zao hazieleweki,ila nilichowaelewa na inavyosemwa baada ya kupewa hiyo IMEI unalinganisha na Imei iliyo nyuma ya simu yako kwenye battery base zisipofanana hiyo ni fake kwa maelzo yao na utaungana na mm kwenye kilio na Huawei yangu.
 
Hawatumi IMEI Mkuu,majibu yao ni kama ujumbe nilotuma unavyojieleza..
 
Baada ya kutuma EMEI ya simu yangu kwenda namba 15090,nilijibiwa hv;
Samsung Korea - Samsung SM-J200H - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuwa BANDIA
MWENYE UELEWA JUU YA HILI TAFADHARI
tatizo ni kwamba hawatoi jibu la mmoja kwa mmoja iwapo Simu husika ni feki au orijino mfano Mimi nilipotuma waliniletea sms ambayo walitaja aina tatu za Simu na mmoja wapo ni hii ya kwangu sasa ni vigumu mtu kuelewa status ya Simu husika
T
 
Barwani,
Kaazi kweli kweli...hapo ujumbe tu umekua tatizo je hiyo Implementation yenyewe,hiyo ndiyo Tz yetu.
Ok,huo ujumbe maana yake(kwa ufahamu wangu);
Kwa kua ww umejibiwa kitu kimoja,Samsung SM-J200H....kazi unayo ww sasa kuhakiki je hiyo simu uliyonayo mkononi ni SM-J200H?
*Kama unamiliki Samsung,je unapoiwasha simu yako inajieleza hivyo....
*Ukibrowse kutafuta specs/image za SM-J200H .....je inalingana na hiyo uliyonayo mkononi??,ikiwa ndiyo si fake ikiwa siyo ni Fake.
Yaani kazi ya 15090,ni kutambua aina ya Handset kwa hiyo IMEI uliyotuma...kisha ww kujitafakari je kilichotumwa(aina hiyo ya Handset kutoka 15090) ndiyo uliyonayo Mkononi????.If Yes-Good,if No-Fake.
Hapa nilipo kuna simu/kitochi titled Nokia ya kichina,kutuma imei yake kwenda 15090 ....jibu likaja from 15090,ni HTC 816 w by HTC Corporation.
Wanaozifahamu simu,wanaijua hiyo HTC Desire 816.......wkt hapa tulipo tuna kitochi cha mchina titled Nokia-NDIPO KAULI YA KAMA IMEI HAIOANI NA SIMU MUONE MUUZAJI....This means haka katochi hakaoani na Imei.
Yaani si Tech language kabisa,kazi kubwa kaachiwa Mlaji/Mtumiaji.
Ndiyo maana nasema kwenye Siasa hakuna lisilowezakana.
Hapa ilipaswa kupata prompt tu...kama vile unapokua na simu yenye uwezo wa Data,kwa sasa unapoweka line unapata sms za Configuration.
Kwa sababu hii issue ya kuangalia cha mkononi na message athari yake ni pale unapouziwa Machine ya Huawei Y300 wkt Cover ni la Huawei Y530,from 15090 itakuja Huawei Y300 wkt mkononi una Huawei Y530.....automatically fake imei hazikuoana na simu/cover!!
Kaazi kweli kweli ,hatupendi kupata changamoto kwa kina kwanza, tunapenda kua watu wa "litafanyika".
 
Muone muuzaji hapa wanatafuta vita na wauzaji wa simu na wabongo walivyo watachukua simu zao mkuku mpaka dukani sasa sijui wauzaji watakubali.
 
Nimekupata mkuu,ila baada ya kuuliza na *#06#utapewa hiyo IMEI ndiyo unailinganisha na ile ya nyuma ya battery,lakini pia wanatuchanganya tu.
Unachotakiwa kulinganisha ni jina la simu wanalokutumia kwenye sms na jina la simu lililoandikwa kwenye simu yako

Kama majibu yanasema simu ni Samsung na wewe simu yako imeandikwa Sony hapo ndio wanaita simu hiyo ni bandia, lakini kama jina la simu linalokuja ni sawa na ilivyoandikwa simu yako basi huna shida nao tena

Mara nyingine jibu linaweza kusema IMEI haitambuliki, hapo andaa budget ya simu nyingine mapema
 
Wamekutajia Jina la simu na model yake so kama haviendani elewa ni fake.

Nazidi kushangaa zaidi nnapoona simu za halotel zote ni fake maana IMEI zake hazioani na simu.
 
tatizo ni kwamba hawatoi jibu la mmoja kwa mmoja iwapo Simu husika ni feki au orijino mfano Mimi nilipotuma waliniletea sms ambayo walitaja aina tatu za Simu na mmoja wapo ni hii ya kwangu sasa ni vigumu mtu kuelewa status ya Simu husika
T
Simu inaweza kutengenezwa kwa ushirikiano wa kampuni zaidi ya moja kama ambavyo nyumba huweza kujengwa kidha kupauliwa na fundi mwingine tofauti na finishing kufanywa na fundi mwingine.

Kati ya hayo majina unayotumiwa hakikisha jina la simu yako lipo na model yake. Kama ni nokia, wakuambie nokia ngapi.
 
Nimejaribu kujielewesha juu ya the so called simu feki lakini sijapata jibu muafaka hadi sasa,nachotaka kujua ni JE,NINI MADHARA YA SIMU FEKI KWA MTUMIAJI ?NA JE ILI ZOEZI LA KUZIMA THE SO CALLED SIMU FEKI NI KWA FAIDA YA NANI? JE WAKIAMUA KUZIACHA ZIFE NATURAL DEATH NA KUZUIA MPYA KUJA SOKONI KUNA MADHARA GANI KWA TAIFA ? JE WAKATI ZINAINGIZWA HAZIKUPITIA TBS ? JE WALIOZIINGIZA HAWAKUZILIPIA USHURU,JE ZIKIWA DUKANI HAZILIPIWI MAPATO NA VAT?
Mwenye majibu anisaidie.
 
Wamekutajia Jina la simu na model yake so kama haviendani elewa ni fake.

Nazidi kushangaa zaidi nnapoona simu za halotel zote ni fake maana IMEI zake hazioani na simu.
Mkuu siyo Halotel almost simu karibia zote za promotion za makampuni ya simu hapa ni fake kwa maelekezo ya Tcra.
 
Nimejaribu kujielewesha juu ya the so called simu feki lakini sijapata jibu muafaka hadi sasa,nachotaka kujua ni JE,NINI MADHARA YA SIMU FEKI KWA MTUMIAJI ?NA JE ILI ZOEZI LA KUZIMA THE SO CALLED SIMU FEKI NI KWA FAIDA YA NANI? JE WAKIAMUA KUZIACHA ZIFE NATURAL DEATH NA KUZUIA MPYA KUJA SOKONI KUNA MADHARA GANI KWA TAIFA ? JE WAKATI ZINAINGIZWA HAZIKUPITIA TBS ? JE WALIOZIINGIZA HAWAKUZILIPIA USHURU,JE ZIKIWA DUKANI HAZILIPIWI MAPATO NA VAT?
Mwenye majibu anisaidie.
Madhara ya kutumia simu hizi hayamlengi moja kwa moja mtumiaji ila zaidi yanahusishwa na mambo ya usalama. Mfano unapopiga simu IMEI za simu unayoitumia zinaenda moja kwa moja ktk mnara na kusomeka moja kwa moja ktk vituo vya kampuni husika ya mawasiliano. Hivyo unapohakiki simu yako kuwa ni fake au la unaweza ona simu unayoitumia wewe haiendani na IMEI iliyoandikwa kwa maana kwamba hiyo sio simu halisi inayopaswa kuwa na IMEI hiyo so inapotokea labda simu yako imeibiwa na unataka ifungwe isitumike (ili ifungwe lazima uwe na IMEI zake) kitakachotokea ni kwamba itafungwa simu nyingine tofauti na hiyo yako. Pia uhalifu utakapotokea kutakuwa na mkanganyiko ktk kumfwatilia mhalifu ni nani.

Kumbuka kwamba inasemekana Sadam hussein alikamatwa ktk kahandaki kake kwa kupitia simu yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom