Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Kama kuna vituko vya mwaka ni madiwani waliochaguliwa sasa.
Diwani anaitisha kikao na wananchi anatoa siku 21 keeys club kuifunga lakini eo ni mwezi wa pili nahisi, msikurupuke kitu ambacho hamna uwezo nacho kabisa.
Tusifike wakati tukawakumbuka CCM sasa, mkiwa hamna uwezo na kitu kaeni kimya.
Hongera keeys ladies wamama waliojipanga na kupangika. Majuzi nilikuwa hapo kona wanasema kama hakutengeneza miaka iliopita basi wasahau sasahivi hapa kazi tu.
Wazo:
Rais Magufuli imefika wakati madiwani kuanza kutumia madaraka vibaya ,mbaya zaidi wengine wanapita kila sehemu kuangalia deadline za leseni na kuwatishia ati hawatawaruhusu tena kurenew hio sio sawa muache kutishana wakati wanahangaika udiwani hamkuwa mnasema.hayo.