Jamani ZAIN challenge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ZAIN challenge!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kisasangwe, Mar 29, 2010.

 1. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wadau humu ndani, hebu nisaidieni....

  haya mashindano ya ZAIN kwa vyuo vikuu Africa, hivi vya Tanzania ni kwamba wanafunzi wetu ni mazoea ya kudesa au kuna tatizo jingine... mbona kila wakati sisi ni wa kuangukia pua tuuu. nilikua nawaangalia wa Tumaini University jana,kwa hakika ule ukimya ulinifanya nishindwe kufikiri,

  au pengine wanafunzi wa KiTZ tunafurahia uwepo wetu tu pale then tunashindwa kujibu maswali ipasavyo.
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha ha kama jana ndo Tumaini university imetia fora.....yaani nilibaki nacheka kumuona yule dada macho yakimtoka wakati wenzie wanabonyeza kitufe!! ha ha ha
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha jinsi vijana wetu wasivyo na elimu dunia, clips zake zinapatikana online?
   
 4. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hakika mi nilitamani ningekua manyaunyau nimfanye invisibo ili dunia isiendelee kuona wa Tz tukiwa kiiiimya
   
 5. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  je ni kwamba we never learn from our previous makosa,? manake haya mashindano hayajaanza leo,na kila wakati tunaburuzwa. kenyan kila mara wanakimbiza mchakamchaka .wapi tunapokosea jamaniiiii. INAUMA
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160


  ni kitu gani?
   
 7. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha!! Ni ka mchezo ka kiMakonde
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  baba E msamee bure ki noname hicho!!
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hommie mi simo hapo!
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mimi nimo hapo

  Back to ze madaz.

  Si huwa wanapewa maswali mengi wanasoma then wanaulizwa?
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  umemrithi Kimey na yeye kachukua nafasi yako , sio mbaya

  bora ujitose.....
  hivi huwa hakuna marudio? mi jana nilimiss.....
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha ha hommie nilitaka nisepe ila kamanda hapa chini kaniakikishia usalama
  Back to Z mada...yeah huwa wanapewa maswali sasa sijui tatizo linkuwa wapi hapa...(sijui tumezoe Simbi/madesa)
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sasa ndugu yangu hizo ndio ishara zinatuonesha jinsi ajira zitakavyochukuliwa na waKenya mara tutakaporithia COMMON MARKET!! Unadhani kwa kiwango hiki cha elimu wanachoonesha wanafunzi wetu wa vyuo vikuu watahimili kweli huo ushindani unaokuja? Vijana wetu wasipoangalia wataburuzwa kama wanavyoburuzwa kwenye haya mashindano!!
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Hata kama ni kudesea jamani ina maana vyooooooooote hujui ila kwa msaada wa desa?

  afu mara nyingi desa halimsaidii kilaza kabisa tena linamchanganya tu......
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  BHT uchokozi hu nani kakwambia upake rangi ubao wangu? mi hapa simo kabsaa!! back to the mada yaani ungeuna jana ya Tumaini ungecheka...wakati naangalia nilikaa kimyaaa. u know wara i mean here!!
   
 16. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ama kuna some sort of komunikeshen barrier, coz that might lead to the poor performance... am just thinking out loud
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Mie sijawahi kuona vyuo vikuu vyetu vinatutoa kimaso maso zaidi ya vile vya Nairobi ,Nigeria,Ghana na kwingineko ina maana vyuo vyetu masomo yao ni tofauti na wenzao?
  lakini Bongo mmh!
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  That is not the case mzee, maana Kiingereza kinachotumika sio kigumu kiviile mtu akashindwa kuelewa!! ni upeo mdogo tu wa mambo ya kidunia!!
   
 19. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ndio. ila kinachonoshangaza ni huko kushindwa kukamata walichosoma kiasi cha kukimbizwa na wapinzani wao.
  ndo mana nauliza au ndo madhara ya mazoea ya kudesa na kununua mitihani kila levo
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye kibluray ndo nimepaka rangi

  Kimey 'bite you tongue' (sijui ni ki-noname hicho)...
  ile wee unaona si tatizo lakini nakwambiaje lugha ni kikwazo....believe you me!!
  nilimshuhudia graduate wa sheria chuo fulani alikwenda kuomba attachment kwenye law firm......jamani unaweza kulia!!! wewe unaesikiliza unatamani kuingia chini ya meza!!!!

  pamoja na hayo nadhani upeo wetu bado ..tunahitaji kukaza buti zaidi am sure we can bana kwani nini!!!
   
Loading...