Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kama nilivyouliza ktk heading,wadau naomba mnifahamishe na hii ni kwa wale waliopo Dom ktk kikao au wale wanaotizama mubashara. Hicho kifaa ni kifaa chenye kazi gani ? Kipo upande wa kulia mwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Tabia ni kama ngozi, asili ya mtu na vitendo vyake unaweza kuvitathimini na kuvigundua pale endapo utakuta majibu yake kwenye mijadala mbali mbali kwenye mitandao mfano jf. Wacha leo nizungumzie...
0 Reactions
9 Replies
721 Views
habarini wadau! msaada jinsi ya kupata ufadhili wa mradi binafsi katika masuala ya ufugaji, concept note ishaandaliwa ila sijajua naanzia wap kuipeleka.Asanteni
1 Reactions
34 Replies
17K Views
Mimi nilifaulu vyema form 4 (dvn 1ya 8) na form 6(dvn 1ya 9) ila bahati mbaya cjafanikiwa kupata mkopo mwaka huu hivyo nimesitisha mwaka chuo. Ninaweza kufundisha masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Wakuu,poleni na mihangaiko. Nyanya kama kiunge muhimu kwenye mboga, leo hii tarehe 12.03.2017, sado 1 inauzwa shilingi elfu kumi (TZS 10,000).m,na nyanya moja inauzwa kati ya TZS 300 mpk 500...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za Kazi wana Jf Poleni na majukum Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania moja ya vyuo hivo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awali ya yote nipende kuwashukuru waanzilishi wa Taifa hili kwa kutupa zawadi ya upendo,Kuheshimiana,Kusaidiana bila kujali Makabila yetu wala Dini zetu kwa sasa naweza kuongeza bila kujali...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
  • Redirect
Mtumishi wa mvngu bishop gwajima, salaam, na pole kwa kaz uifanyayo najua hustahil pole kwa kaz hiyo maana ni mungu kakutuma ila kwangu mm naomba nikupe pole. Nina swali kwako mtumish...
6 Reactions
Replies
Views
Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77 MWALIMU wa shule ya sekondari ya St Margareth wilayani Igunga amekamatwa na boksi za pombe aina ya viroba 825 akiwa amevihifadhi katika duka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
KWA NINI NI MUHIMU KUJARIBU KILA ROHO. Kujaribu ninakotaka kukujejengea msingi hapa ni "Kupima au kadiria",fasiri hiyo imetoka kwenye neno "jaribu"test"kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Kwa habari za kawaida na mtazamo wa kweli ni kwamba ndg Paul Christian Makonda aliekua anaitwa Daudi Albert Bashite miaka ya 2000 kurudi nyuma alitumia mwanya wa kutangaza majina ya watu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Redirect
Mradi wa Mwendokasi bado una kero nyingi za msingi. Tusitake kila kitu mpaka Mh Rais au Waziri Mkuu aongee ndio tuamke. Ni vema tuache mazoea. Viongozi wa mradi msiishie kukaa maofisini, ingieni...
1 Reactions
Replies
Views
habari za humu wana jf.Nilikuwa na pita kwa gari kutoka hydom kwenda katesh. niliwauliza raia wa eneo wanalokarabati wa SMCS wanasema kampuni inayokarabati barabara hiyo ni kampuni ya elerai ambao...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wooote mlionyanyasika huko ccm karibuni ukawa,hiyo ndiyo siasa,sijaona shehe aliyesusa msikiti eti kisa mpagani kasilimu
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Wakuu naomba tupeane updates za uchaguzi uliofanyika leo kuwachagua wenyeviti wa mitaa. Katika sehemu niliyopo kulikuwa na nafasi sita, mpaka sasa matokeo ya sehemu nne tayari na zote...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mpendwa , somo la kunena kwa lughs ni somo pana kabisa kuliko wengi wamevyolichukulia lakini nina machache tu 1 Hoja yako ya kwanza umesema kuna baadhi ya mahubiri ya lugha za kigeni (kiingereza...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
wakuu mbwa wangu wametoroka kutoka kwenye banda lao na wameelekea kusiko julikana..... Eneo walikotokea ni Goba mwisho sehemu inaitwa KV Pub sasa kwa yoyote alieko maeneo ya Goba ambae ataona mbwa...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
BCM Shikamoo Chama cha Mapinduzi na ama kweli sasa Chama kinarudi katika nidhamu yake tuliyoitaka. Ndani ya Saa 24 au 48 zijazo nchi itasimama na kutoamini.
8 Reactions
110 Replies
19K Views
Back
Top Bottom