Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,738
- 2,482
Ona sms walionitumia wahuni hawa(Vodacom)
Ndugu mteja, simu yako sio halisi.Tafadhali tembelea maduka yetu ya vodashop ili ujipatie simu halisi na kwa bei nafuu kuanzia Tsh 20,000. Wahi sasa!
Simu yangu ni halisi Nina uhakika kwa asilimia 100% na nimeshathibitisha TCRA
Sasa wao wanaponitisha hivyo wanategemea nitakurupuka kwenda kununua kwao
Waache ujinga,natamani kuwatukana