Wakuu heshima mbele!
Kama kawaida watanzania tunahitaji kujua hii timu mpaka sasa kazi waliyopewa na Mh. Waziri Mkuu wamefika nayo wapi?
Status pliiz...
Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari
Ridhwan Kikwete, mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anakaribia kuingizwa katika kitendo cha kifisadi. Tarehe 17 Machi 2008 nimepewa...
Na Mwandishi Maalum
NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya...
Aeleza serikali yake itakavofanza kazi.
Ni ishara kwamba safari hii Mzee Jongwe ana mtihani.
Je Marekani inasaidia?
Morgan Tsvangirai
Freedom for Zimbabwe
By MORGAN TSVANGIRAI...
Nimeguswa sana na uchambuzi wa Gervas nikaona nivizuri niulete hapa
Na Gervas Zombwe wa Tanzania Daima
WANANCHI wanachangishwa michango ya ujenzi wa shule kwa nguvu. Na kutokana na...
Speaking at Nakivubo Stadium on Wednesday, where he led thousands of Muslims who celebrated the birth of Prophet Muhammed, Gadaffi asserted that the Bible was not the one revealed to Jesus and the...
1. Enyi wanajambo, ujumbe upokeeni,
Leo hii tumeona, tuje kuwaelezeni,
Yote totakayonena, myaweke akilini,
Mada zetu ni mwanga wa ulimwengu.
2. Tunawauliza swali, tafadhali sikieni,
Yeyote...
Boti za askari wa AU zaelekea Anjouan
2008-03-25 09:08:36
Na MORONI, Comoro
Boti tano zikiwa zimebeba wapiganaji wa vikosi vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyoongozwea na Tanzania jana...
jamani hivi alivyofanya mbunge huyu kuwahusia wanafuni kusoma kwa bidii ili wapate hayo aliowaeleza ni sawa au amekosea?
na kustaarabika ni kuoa mzungu?
hivi ndio watanzania tunavyofikiri? au...
When Vogue announced its April cover starring LeBron James and Gisele Bundchen, the magazine noted with some fanfare that James was the first black man to grace its cover.
But the image is...
Pakistan PM vows to free judges
BBC News Online
Ex-Speaker Yusuf Raza Gillani had been the front-runner
Prime minister
New Pakistani PM Yusuf Raza Gillani has said he will order...
Wikendi hii tunafanya majaribio ya kurusha matangazo moja kwa moja toka studio zetu hapa kijijini. Kuweza kusikiliza matangazo yetu live nenda kwenye tovuti ya: http://www.ubroadcast.com halafu...
USHAURI KWA VIONGOZI WAKUU WA SERIKALI AWAMU YA NNE, HUSUSANI MHE MEGHJI, KARAMAGI, MRAMBA, YONA N.K KUHUSU UWAJIBIKAJI NA UADILIFU.
Baada ya kufuatilia kwa karibu sana matamshi mazito ya...
Nikiwa najiandaa kwenda kula Pasaka nje ya mji nimeona niache swali hapa ili hata nikiwa nje ya kamji kangu kaitwacho Cyber Village ntapata nafasi ya kuona kwamba huku tukiila Pasaka tunaweza...
Yap, i said it !
Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha)
Slaa za kwake ni za kikabila kabila, !
Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi)
Haya wee...
........everyday people!!!!
Every once in a while you run across a story that just makes you shake your head in disbelief. A newly married woman burns her husband to death because he got...
Shock jocks urge Republicans to vote for Clinton
Right-wing radio hosts help Hillary to fight on as part of a strategy to keep the Democrats divided
Paul Harris in New York
The Observer...
Mod
nina nia ya kueneza CHADEMA,naombeni basi katika avatar badala ya kuweka picha yangu. Niwekeeni maneno: www.chadema.net sambamba na jina langu jamani. Au nipeni tuition kama aliyonipa...
Rais Jakaya Kikwete ameamua kwenda Mikumi National Park kwa mapumziko. Naambiwa na wahusika kuwa Rais amekuwa ndani ya mbuga hiyo kwa siku kadhaa sasa. Jana mchana nikiwa ndani ya mbuga hiyo...
Watanzania kwa mara nyingine, kipindi hiki tunajiunga na watu wa mataifa mengine (hususan wakristo) kuadhimisha sikukuu ya pasaka yenye asili yake katika tukio la kuwekwa hur kwa taifa la Israel ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.