"MAZA" wa nguo za harusi R.GARDEN AIBIWA NGUO ZA ZOTE ZA HARUSI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Its sadnews wakati biblia ikiendeleza ndoa iheshimike na watu wote huku kuna watu wakitarijika kupitia ndoa za watu...jamani kwa wale wanaomjua yule dada anaetengeneza nguo nzuri za harusi pale kwenye kona ya TPDC karibu na rosegarden ameibiwa nguo karibia zote asbh ya jana...zaidi ya 33..akiongea na chanzo chetu dada yetu mmoja aitwae pepetua alietarajiwa kufunga ndoa tarehe 17 may amesema amechanganyikiwa na hajui afanyaje......,naye alikuwa katika waathirrika..habari zaidi zinasema nguo halisi zilizoathirika ni zile zilizomalizika kabisa na kutundikwa ..mwana habari anasema asubuhi alikuja mfagiaji alipomaliza kufanya safari akazunguka nyuma kutupa takataka na kuelekea ******..kumbe kulikuw na pickup imekaa pembeni ya ofisi yake na huku vijana kama 3 wakiwa wameshuka na wengine kuanza kuagiza pombe huku akili kichwani.....
SISI KAMA WATUMISHI WA BWANA TUNAOOOMBA MUNGU KILA SIKU AWAPATIE WATU UBAVU WAO TUNAALAANI KWA NGUVU ZOTE UHUUNII HUU NA TUNAMPA POLE DADA YETU MAZA...TUNAJUA YUKO KATIKA WAKATI MGUMU LAKINI MUNGU HUWA ANAFUNGUA NJIA PALE P[ASIPO) NA NJIA.......TUNAKUOMBEA MUNGU USIKATE TAMAA MUNGU ATAKUBARIKI KWA JINSI UNAVYIOTUMIKA KUWAPAMBA WANANDOA KATIKA KUELEKEA KUTIMIZA MAANDIKO YA BIBLIA.....TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI
 
Pole ewe mjasiriamali. Mwombe Mungu. atakufanyia miujiza.
 
samahanini jamani hivi hmna comprehesive insuarance ya nguo???
 
poleni sana: sasa wale ambao harusi ndo zimekaribia maskini ndo nawaonea huruma!

Je soko hao wezi watauza wapi? Mie naona watakamatwa tu!
 
sikuhizi hawaziuzi unakuta mtu anahifadhi nyumbani alafu anakodisha siku za harusi 100000-150,000
 
Bahati nzuri siku hizi kuna "shella" za mitumba kibao, aende kinondoni kwa manyanya atapata size yake
 
inahuzunisha sana
ila hii chanzo chake ni UFISADI watu wanakosa elimu na ajira wanaishia mbinu chafu tu!
 
Back
Top Bottom