Open Office | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Open Office

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitia, May 6, 2009.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao wanahitaji program mbali mbali badala ya zile za Microsoft, mnaweza kutumia Open Office, ambayo unaweza ku download bure na hata kuweza kuiendeleza. Kuna program za Text Document,Presentation, Database, Spreadsheet, Drawing na Formula. Uzuri wake baada ya kufanya kazi yako unaweza kui save katika format ya Microsoft kama Wors au Excel na hata vile vile Pdf. Program hiyo inapatikana hapa.
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu, mimi huwa naitumia sana kwenye Linux SuSe. nimeshaitumia pia kwenye windows Millenium Edition.
   
Loading...