Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja!
Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu?