Zoezi la kutegua mabomu linafanyika mbagagala kuu mchana wa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zoezi la kutegua mabomu linafanyika mbagagala kuu mchana wa leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kapuchi, May 6, 2009.

 1. k

  kapuchi Senior Member

  #1
  May 6, 2009
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wadau wote,

  Nimepokea taarifa kuwa kutakuwa na zoezi la uteguaji wa mabomu yaliyosalia pale mbagala kwenye kambi ya jeshi.

  wanachi wote wa jiji wameagizwa wawe watulivu,wasiogope mitikisiko yoyote itakayojitokeza kwa kuwa imesshathibitiwa,wanafunzi wa shule zote mbagala wameruhusiwa kurudi majumbani kwa siku ya leo.


  hay habari ndiyo hiyo muwapigie simu ndugu na jamaa,ili waweze kutulia hali hizo zitakapojotokeza.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu waambie walio kupa taarifa ni kwamba wana waaga wanajeshi walio fariki kwa mabomu ni kitu ya kawaida kwa mwanajeshi akifariki lazima wapige mizinga waambie wasikimbie wawe na amani tu.
   
 3. S

  Sally Member

  #3
  May 6, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama hao wanaoegua mabomu hawana uhakika na wanachokifanya ni heri watuambie tutoke mjini mapema. isiwe kubahatisha. Mlio karibu tuhabarisheni
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Itakuwa kutegua mabomu yaliyobakia ila si kuwaaga maana wanapiga mizinga wanapozika sio kambini.........
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wameshayategua hayo mabomu au la?
   
 6. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani bado maana sijayasikia na mimi niko maeneo ya Zakhem muda mrefu naona kimya
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wameahirisha hadi kesho saa nane mchana
   
Loading...